Ushauri: Nahitaji kununua iphone 11 plain, ni nzuri au niachie?

financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
11,422
2,000
siwezi kwambia ubaki na a21 kama una bajeti ya iphone 11,kanunue tu.ni simu nzuri wala hutajuta.

ila zijue iphone kwanza,isije kukukera kwa mambo ambayo hujayazoea.

1,hii haina maajabu sana kwenye charge ingawa sio betry mbaya.
2,hutarusha wala kupokea nyimbo/video kiswahili tu kwa vijana na washkaji mtaani.
3,sisitiza kupata ya line mbili,ili upunguze zaidi ili upunguze usumbufu zaidi.
4,hakuna ujanja ujanja wa kudownload movies kwenye sites mbali mbali,labda kwa link telegram.

kama haya sio ya msingi kwako,basi utafurahia simu hiyo.
Mbona kama ina Masharti hivo😒! Acha niendelee kutumia haka katecno tu niko free nadowload hadi singeli
 
Bingwa Mara 4

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,355
2,000
Hivi tecno ni simu au calculator?
Calculator mkuu.
Hio hapo ina kasi ya 4G.
Chaji siku 5.
Hakika hii calculator ni nzuri sana.
Screenshot_20210520-094303.png
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,939
2,000
siwezi kwambia ubaki na a21 kama una bajeti ya iphone 11,kanunue tu.ni simu nzuri wala hutajuta.

ila zijue iphone kwanza,isije kukukera kwa mambo ambayo hujayazoea.

1,hii haina maajabu sana kwenye charge ingawa sio betry mbaya.
2,hutarusha wala kupokea nyimbo/video kiswahili tu kwa vijana na washkaji mtaani.
3,sisitiza kupata ya line mbili,ili upunguze zaidi ili upunguze usumbufu zaidi.
4,hakuna ujanja ujanja wa kudownload movies kwenye sites mbali mbali,labda kwa link telegram.

kama haya sio ya msingi kwako,basi utafurahia simu hiyo.
Point #2 sio kweli. Kwanini ushindwe kurusha au kupokea nyimbo?

Point #3: Ukishaanza kutafuta Iphone yenye line mbili, jua kabisa ushaingia chaka
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,526
2,000
Point #2 sio kweli. Kwanini ushindwe kurusha au kupokea nyimbo?

Point #3: Ukishaanza kutafuta Iphone yenye line mbili, jua kabisa ushaingia chaka
2,utashindwa sababu umezoea kuingiza kwa jamaa wa kuburn cd,ambabo wengi hawajishughulishi na Itune.

3,kuanzia iphone xs max zinakuja na zenye line mbili pia,kwahi iphine 11 yenye line mbili ipo,itapendeza kama akaisaka hiyo kuliko ya line moja.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom