Ushauri: Nahitaji kununua iphone 11 plain, ni nzuri au niachie?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,133
11,124
Ni simu nzuri?

Camera yake iko vipi?

Or nibaki na a21 yangu tu nisichezee pesa
 
siwezi kwambia ubaki na a21 kama una bajeti ya iphone 11,kanunue tu.ni simu nzuri wala hutajuta.

ila zijue iphone kwanza,isije kukukera kwa mambo ambayo hujayazoea.

1,hii haina maajabu sana kwenye charge ingawa sio betry mbaya.
2,hutarusha wala kupokea nyimbo/video kiswahili tu kwa vijana na washkaji mtaani.
3,sisitiza kupata ya line mbili,ili upunguze zaidi ili upunguze usumbufu zaidi.
4,hakuna ujanja ujanja wa kudownload movies kwenye sites mbali mbali,labda kwa link telegram.

kama haya sio ya msingi kwako,basi utafurahia simu hiyo.
 
Sahihi kabisa aongeze pesa achukue 11 pro max inakaa na chaji zaidi
 
siwezi kwambia ubaki na a21 kama una bajeti ya iphone 11,kanunue tu.ni simu nzuri wala hutajuta.

ila zijue iphone kwanza,isije kukukera kwa mambo ambayo hujayazoea.

1,hii haina maajabu sana kwenye charge ingawa sio betry mbaya.
2,hutarusha wala kupokea nyimbo/video kiswahili tu kwa vijana na washkaji mtaani.
3,sisitiza kupata ya line mbili,ili upunguze zaidi ili upunguze usumbufu zaidi.
4,hakuna ujanja ujanja wa kudownload movies kwenye sites mbali mbali,labda kwa link telegram.

kama haya sio ya msingi kwako,basi utafurahia simu hiyo.
Vitu gani ntafurahia zaidi
 
Namba mbili nakataa natumia Xender nimerusha nyimbo pamoja na video kutoka kwenye Infinix hot 9 na zinaplay vizuri kwwnye iyo xender

Kwa wale wenzangu na mie ingia Apps tore download eSound
 
hakuna kinachoshindikana kwenye iphone,ila si rahisi kama wenye android.

kuna snapdrop pia.
 
Vitu gani ntafurahia zaidi
ufanyaji kazi laini na wa uhakika kwa apps zote.
iwe games au apps nyingine,hakuna kukwama kwama.

UI yenye mvuto sana,ambayo inazidiwa na ile samsung one UI tu.

speaker nzuri hata kusikilizia music sehemu tulivu(stereo)na sound booster yenye nguvu sana kama mtumiaji wa phones utafurahi.
 
Camera?
 
Mwanzoni ilichukua ugumu sana kuelewa hizi simu ila bdae na utundu wa hapa na pale mzigo unapiga fresh tu
kabisa,ukiishazijua jina hazisumbui tena.

hata zile storage zao utashangaa imejaa ghafla tu,wakati uliona ni nyingi.
 
Back
Top Bottom