Ushauri: Nahitaji kununua iphone 11 plain, ni nzuri au niachie?

Ushauri: Nahitaji kununua iphone 11 plain, ni nzuri au niachie?

zipo kkoo ila hakikisha una msimamo,sababu wauzaji ukimuuliza kitu amabcho hana,na hela inampita anakuonyesha simu nyingine na kuanza kukupanga.
Pixel ubora wake upoje
 
Pixel ubora wake upoje
iko vyema maana ni premium phone.
kila kitu iko vyema hasa camera.

betry ni wastani kama kawaida nazungumzia pixel 5 kwa bajeti yako.

kingine,inatumia stock android,ambayo haina urembo na madoido,faida yake ni nyepesi,na hasara yake haina mvuto.
 
Ntaipata kwa bei gani na wapi usichoke kaka
 
Duh so hebu nipe ushauri wa mwisho , maana nafanya biashara nahitaji quality camera na sim ikae na chaji kidogo
nikisema betry mbovu nakuwa nalinganisha na hiyo a21 unayotumia,maana hizo simu zote kama matumizi ya kawaida,somtime unaiacha mezani nk,masaa 10 inamaliza.

so sio mbaya kiivyo.
 
nikisema betry mbovu nakuwa nalinganisha na hiyo a21 unayotumia,maana hizo simu zote kama matumizi ya kawaida,somtime unaiacha mezani nk,masaa 10 inamaliza.

so sio mbaya kiivyo.
Kwa chaji acha nibaki na a21 yangu tu
 
Wa
Hii simu Google pixel 5 naipata wapi kwa daslama ? nishasikia watu wanaisifia hii kama mara ya saba naomba sasa niitafutie pesyu
Hii simu Google pixel 5 naipata wapi kwa daslama ? nishasikia watu wanaisifia hii kama mara ya saba naomba sasa niitafutie pesaa
Yupo dealer mmoja instagram,anaitwa googlepixeltz.
 
siwezi kwambia ubaki na a21 kama una bajeti ya iphone 11,kanunue tu.ni simu nzuri wala hutajuta.

ila zijue iphone kwanza,isije kukukera kwa mambo ambayo hujayazoea.

1,hii haina maajabu sana kwenye charge ingawa sio betry mbaya.
2,hutarusha wala kupokea nyimbo/video kiswahili tu kwa vijana na washkaji mtaani.
3,sisitiza kupata ya line mbili,ili upunguze zaidi ili upunguze usumbufu zaidi.
4,hakuna ujanja ujanja wa kudownload movies kwenye sites mbali mbali,labda kwa link telegram.

kama haya sio ya msingi kwako,basi utafurahia simu hiyo.
tena hapo kwenhe charge kama anatumia A21 anaweza kulia maana hyo akichaj asubuh ni mpka jioni ila hyo iphone atabidi achaj hata mara tatu kama mtumjaji wa simu
 
tena hapo kwenhe charge kama anatumia A21 anaweza kulia maana hyo akichaj asubuh ni mpka jioni ila hyo iphone atabidi achaj hata mara tatu kama mtumjaji wa simu
A21 ni kiboko aisee
 
Back
Top Bottom