Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Punguza wivu mkuu, wimbo tu umekufanya uwaze vinginevyo, je ungewakuta wanakumbatiana?
 
Kuleni wote kwani kizuri kula na wenzio ndy maana na yeye anawapa lift. Vya bure gharama!!
 
nunua gar na wewe siku mpe lift weka ile nyimbo ya shemeji shemeji mbona unazima taa inaujumbe mzto kwisha kazi
 
Wonders never cease....halafu sababu ni wimbo? Basi aache kuipanda hiyo gari
Dah! Mkuu We Hujui Nampendaje Mai Waifu! Then Kuhusu Kuzama Chumvin! Nahs Jamaa Amenielewa Vibaya! Mim Namaanisha Mzama Chumvin Mtu Anayezama Baharin Na Kuvua Samaki Kwa Sababu Baharin Kuna Chumv.
 
Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
Sasa si mchange na huyo wife mnunue lenu, kadri unavochelewa ndivyo hisia zako zinapozidi kuwa ukweli na uhalisia
 
Punguza wivu mkuu, wimbo tu umekufanya uwaze vinginevyo, je ungewakuta wanakumbatiana?
Dah! We Jamaa Tema Mate Chini! Na Naomb Isije Kutokea! By The Way Tatizo Sio Huo Wimbo Tu! Mai Waifu Ana Kahistoria Kaudhaifu Mkuu.
 
Sasa si mchange na huyo wife mnunue lenu, kadri unavochelewa ndivyo hisia zako zinapozidi kuwa ukweli na uhalisia
Dah! Mkuu Tatizo Mtonyo Halafu Si Unajua Namalizi Kibanda Lukobe! Nikienda Kuchukua Loan Ninunue Mkoko Naona Kam Nitakuwa Nimedhulumu Nafs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom