Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Mwambie mkeo asilizoee hilo gari la rafiki yako na unatakiwa kupunguza urafiki na huyo jamaa yako hadi utakapofika zero.
 
ndio auweke kila jamaa anapopanda? hapana aisee, Jamaa anasaidiwa
Upo uwezekano anamchombeza pia, lakin pia usikute jamaa ana CD hiyo hiyo pengine nyimbo zinapiga nyingi, ikiisha hiyo ina maana haiji nyimbo nyingine au kabla ya hiyo hakuna nyimbo nyengine, lakin upo uwezekano mleta mada kwa vile alishaweka dhana hiyo ndio mana akili yake ipo kwenye wimbo huo tu, FIKIRIA KAMA NI USB YENYE NYIMBO 10 NA HIYO NI NYIMBO YA 6 Ni wazi kuliimba nyimbo ya 5 ikaja hiyo ya 6 ya shemeji ikaisha ikaja ya7. LABDA IWE KILA IKIISHA ANA REWIND Hapo sasa ni uhakika jamaa anamtaka wife, na anaanza mchombeza.
 
Wimbo umekupa kiwewe acha kutegemea lift kubaliana na hali yako
Asant Ila Kwa Hal Ilivyo Sasa Siwez Kumuepuka Jamaa! Tunafany Kaz Sehemu Moja! Tuish Nyumba Tofaut Zinaangaliana! Labda Nikachukue Mkopu Kumsave Mke Nitafute Hata Starlet.
 
Upo uwezekano anamchombeza pia, lakin pia usikute jamaa ana CD hiyo hiyo pengine nyimbo zinapiga nyingi, ikiisha hiyo ina maana haiji nyimbo nyingine au kabla ya hiyo hakuna nyimbo nyengine, lakin upo uwezekano mleta mada kwa vile alishaweka dhana hiyo ndio mana akili yake ipo kwenye wimbo huo tu, FIKIRIA KAMA NI USB YENYE NYIMBO 10 NA HIYO NI NYIMBO YA 6 Ni wazi kuliimba nyimbo ya 5 ikaja hiyo ya 6 ya shemeji ikaisha ikaja ya7. LABDA IWE KILA IKIISHA ANA REWIND Hapo sasa ni uhakika jamaa anamtaka wife, na anaanza mchombeza.
hata kama ni hivyo lakini ndio ijirudie kila apandapo? ama huwa inajiseti tu kwamba akiingia jamaa na mkewe inajiachia?
 
Ibra mbona waongea kama ulikuwepo kwenye gari, muhusika hajasema kama inajirudia rudia au kila akingiia tu yaimba!! japo amesema kila siku inaimba lakin hajafafanua uimbaji wake yani njia nzimaa kutoka kimara mpaka posta au gongo la mboto mpaka tegeta???
 
hapo panahitaji ufafanuzi na upembuzi yakinifu
 
La sivyo bro mwambie mkeo asilipande hilo gali la rafiki yako na wewe uendelee kulipanda hilo gari uangalie kama ataendelea kuuweka huo wimbo. Akiacha kuuweka mchane live. Na akiendelea kuuweka atakua anaupenda tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom