Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Nunua gari mkuu, vinginevyo utaendendelea kugongewa tu maana hakuna namna
 
Kama wanatembea pamoja haina shida, nilidhani jamaa anamega kisela, kumbe kutembea tu....!
 
Na wewe kwani lazima mpande hiyo lifti? Utagongewa tu hivi karibuni we subiri
 
Vitu vingi vya bure hua ghali sana,ukiwa kama mwanamme jitume kwa sana ivi utapewa lift mpaka lini?
Na huo wivu unatokea wapi? umewaona wanafanya chochote cha kukupa wasiwasi au ni wimbo tuu?
dhana mbaya wewe endelea kupewa lift na leo umesikia wombo huo nxt week utasikia mwengine
unasema ivi"Twala nao sahani moja hawajijui,hawajitabui.. ya Babloom Taarab...
 
Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
Kwanza acha udhaifu wa kupewa pewa lift na mkeo,jipambanie mwenyewe mpaka panda town bus mpaka pale utaponunua gari lako,maana siku ukiugua afu wife peke yake ndo akaenda job kwa kupewa lift tena na huyo jamaa ugonjwa wako utaongezeka.
 
mkuu si muache kudandia lift,,, hayo unajitakia mwenyewe.....
 
Katika swala mke hata baba mzazi si wa kuamini kabisa akili zetu sisi wanaume mbele ya K huwa kama zinaganda
 
Mkuu rahisi gharama.
Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom