Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Tatizo lako ni kitu fulani kimeweka kafundo hapo kooni tu. (Wivu). Ukifanya mchezo waweza kuleta mada hivi hivi. Mkeo mpende zaidi na kumtimizia hayo mahitaji yake. Chukua kamkopo kazini, nunua ka gari ka only 2 seaters. Utampeleka nayo kazini, utamrudisha nako nyumbani. Usiache kununua ka flash player angalao uweke record ya "Malaikaaaaa nakupenda malaikaaaaa" Halafu uidedicate kwa mkeo. Pigaa ukienda kazini, pigaa ukirudi nyumbani, njia nzima.
Wazo na fikra potofu ya kumwachisha mkeo kazi ni baya tena lishindwe na lilegeeeee. Hivi tu, mnaenda wote kazini, mnapokea mishahara 2 umeshindwa kununua gari mpaka unaomba lift ya manyanyaso, ukimwachisha kazi weye si utachapiwa mpaka jikoni?? Usimwachishe kazi mkeo, kakope ukanunue kagari kadogooooo umpeleke nako kazini.
 
Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
Kwani daladala zimekwisha, akishamkinai mkeo atahamia kwako jitaarishe na nyimbo ya rafiki rafiki sasa maana na wewe pia atakuparamia.
Acha kupenda mteremko panda daladala au na wewe kichange ununue yako.
 
Kwa nini upande gari lake sasa... cha bure gharama..
 
Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
ingekuwa kweli anamega asingeweka huo wimbo mkuu si anajua ungestuka...usimuache wife coz hapa inavyoonekana huna proof hata robo kama jamaa anakumegea so mkuu jiamini tu ila mi nakulaum habar za kila cku we na mkeo kupewa lift pamoja kwenda kazin..hebu anza kutumia nauli yako mwenyew mwambie na mkeo pia
 
Shida ni lift hakuna kingine km kweli ww ni kichwa cha familia.acha kupenda dezo ad kwa vitu vya watu.

Ww mwenyewe umemzoesha et tunapandaga.

Panden daladala simamia msimamo
 
Pole sana ushaaliwa msipende sana lift daladala zipo why upande gari ya mtu aisee
 
Acha kabisa kupanda hiyo lift, bado hajatembea nae huo wimbo ni mtongozo wa kiaina, anafikisha ujumbe kiulaniiiii na wewe ukiwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom