Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
kwani na wewe ni kapuku?
kwenye avatar yako umeweka kichwa cha kapuku,mwili ni mtu ila kichwa cha kapuku
 
Nimeweka Kuziba Uso Mkuu!! Sijajua Nin Maana Ya Huo Ukapuku Usemao! Nifafanulie Kidog Mkuu?
 
Dah! We Jamaa Tema Mate Chini! Na Naomb Isije Kutokea! By The Way Tatizo Sio Huo Wimbo Tu! Mai Waifu Ana Kahistoria Kaudhaifu Mkuu.
duuuh! pole sana mrume mwanzangu, vp ana kaudhaifu ya kupenda wenye magari au ni kwamba akitongozwa hajui kukataa?
 
Huyu sio kwamba anagongewa, ninaloliona mimi ni kwamba MTOA LIFTI amewachoka hivyo ametafuta mbinu ya kuwafukuza kiaina. Hivyo afuate ushauri wa wadau humu waliompatia wa kununua ka gari kako. Hata kama hali inabana weka malengo utafanikisha hilo.
 
Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.

Mkuu mimi nadhani kwanza ungetafakari na kutafuta maana sahihi ya msaada au lift kwa kidhungu, Umepewa lift hujalazimishwa kukubali ama kukataa, kama umekubali kupokea hivo hata mkeo anao uhuru wa kukubali ofa ya ziada ya jamaa.

We mtu kakupa msaada bado unataka kumpangia nyimbo gani asikilize, kweli? hebu nambie ni nini kilitangulia kati ya hiyo nyimbo na wewe kuanza kupokea msaada kwa mshikaji? Je unataka kutuaminishaje kuwa kabla wewe hujaanza kupokea huo msaada mfadhili wako alikuwa hasikilizi hiyo nyimbo. Mfano mimi napenda kusikiliza nyimbo ya mwanamziki anaitwa Dido nyimbo inaitwa life for rent, hii kila siku lazima niiskilize, kama nina rafiki ambaye ujumbe ndani ya wimbo husika unamgusa basi aseme nasikiliza kwa ajili yake? Usiwe mswahili kiivo mkuu,, au we ndo wale mnaosutana kwa taarabu na matarumbeta.

Ushauri badili mtindo wa maisha, Acha kutegemea msaada kwani kila msaada una mashariti japo mengine yaitwa masharti nafuu. Njoo tupande daladala konda atupange wawili wawili. Huku sasa ndo utazimia konda atakapomwambia mshikaji amgeukie mke wako, kwa mtindo wa wawili wawili, na kama kajaliwa mkia mhhh.

Amini kuwa mfadhili wako hana mawazo sawa na yakwako, bali anapenda huo mziki. Over
 
Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
Inawezekana hana nyimbo zingine isitoshe hilo ni gari lake huwezi kumpangia apige mziki gani. Sasa usimwachishe mai waifu wako kazi ongeza bidii ya kutembea na waifu wako, piga 'mtanange wa kweli'.
 
Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
Kaka jichange ununue Passo yako
Acha kulalamika 😀
ImageUploadedByJamiiForums1460931512.385850.jpg
 
siku nyingine atapiga ya 'unapenda dezodezo eheeeh baba ' wanaume wa dar at their top best.
 
Kamwe husimuamini mwanaume yoyote kuwa na mazoea na mke wako hiyo ni sawa na kuchezea shilingi Shimoni au kumpa mtoto kiwembe. Hacha kupanda gari lake tu na mpotezee maana sio rafiki mwema.
 
Tafuta sababu mkeo asiende kazini kama siku 2 au 3 sikiliza kama jamaa atapiga kale kanyimbo kake ? Na je atakuuliza maswali gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom