Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Sabakher Wadau;
Kiukwel Nipo Katika Wakati Mgumu Kutokana Na Matendo Ya Rafik Yangu Na Mai Waifu!!
Jamaa Ana Gari Na Mara Nying Huwa Anatubeba Mim Na Wife Kwan Tunafanya Kaz Hospital Moja!! Sasa Tatizo Kila Tukipanda Gari Jamaa Anaweka Nyimbo Ya SHEMEJI SHEMEJI ya IZZO B! Nyimbo Nzima Inamsifia Shemeji Yake Ambae Ni Mke Wangu!!
Ni Mwez Sasa Wimbo Huo huo Na Tukiwa Kwenye Gar Waifu Anacheka Cheka Tu Akisikia Huo Wimbo!!
Kiukwel Sina Aman Nataman Hata Nimuachishe Wife Kazi!
NISHAURIN JAMAN MWANAUME MWENZENU NIMEVURUGWA.
Nunua gari yako
 
...shemejiiiiiiiiiiiii....unanitoa udede! Unanitoa udede.... Unanitoa udedededenda...! Shemejiiiiiiiii.....Tatizo ni demu wa rafiki!

Ushaliwa hapo.
 
Mkuu Usiseme Hivyo! Naumia Ujue.
Kama unaumia hapo nimekufariji kuwa bado hajaliwa ila analainishwa aombwe,na kwakuwa umesema huwa anachekacheka tu,basi atapanuliwa upaja soon au atapigwa doggy style,acheni kupanda gari ya watu,kopeni hata TUK-TUK
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom