Ushauri: Nahisi rafiki yangu anatembea na wife

Pandeni daladala.. Shemeji yupo cute cute akitembea nyuma mtetemeko ... Anasubiria ufe arithi mzigo huo
 
...shemejiiiiiiiiiiiii....unanitoa udede! Unanitoa udede.... Unanitoa udedededenda...! Shemejiiiiiiiii.....Tatizo ni demu wa rafiki!

Ushaliwa hapo.
Mkuu Unazid Kunipa Moto? Ujue Wife Nimemtoa Bush! Halaf Unaniambia Jamaa Kashamla dah!
 
Next time akisikia wimbo akachekacheka we mzamie tu chumvini.
 
Hiyo kupeana lift kwa marafiki nadhani ni jambo la kawaida kwa sisi waafrica, La msingi hapo wala usitake makuu ya kutaka kujiumiza kama huna uwezo wa kununua gari, taratibu uwe unamtumia msg rafiki yako atangulie kuwa mtachelewa, yani siku moja moja panda mfano kwa week mara 2 halaf baadae acha kabsaa kupanda hilo gari, Na tumia usafiri wa daladala, usumbufu utakaopata kwenye daladala utajitahidi kununua gari yako kuliko sasa hivi unazidi kujidumaza akili kwa gari ya lift.

Na kuhusu wimbo inawezekana jamaa ana upenda ila kwa vile roho yako tayari inahisi hivyo upo uwezekano ikawa ni kweli au si kweli, kiufupi ili kuilinda ndoa yako, mweke mbali na mkeo, yani awe ni rafiki wa mitaani tu, hakuna hata kumualika kwako.
 
ndio auweke kila jamaa anapopanda? hapana aisee, Jamaa anasaidiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom