Nafsi yako inatumika sehemu.kuna madhabu ya kishetani mwilini mwako suluhu ni kanisani upo mkoa gani kuna roho inakufwatiliaShikamoni wakubwa zangu
Mimi ni kijana wa miaka 22, nimekuja mbele yenu kuomba USHAURI kwa haya yanayo ni kumba Katka maisha yangu hasa ya kielimu maana Nahisi Nimerogwa kuna matukio kadhaa yamejitokeza katika harakat zangu za kielimu mpaka Nahisi Nimerogwa. Kuna matukio matatu ambayo mpaka Sasa sielew nimeikuta nimekata tamaa
Tukio la Kwanza nikiwa primary miaka kadhaa iliyopita, shule nilikuwa nasoma ya private iliungua ktk uchunguzi wa walimu katika Tukio Hilo Walifanikiwa kumtambua mtuhumiwa mmoja ambae Katika mahojiano zaidi alinitaja mimi kama mhusika wa tukio hilo ili hali kwamba mimi sikuhusika kwa namna yoyote ile nilijaribu kujitetea lkn wapi, mwisho wa siku nilitimuliwa shule ile
Tukio la pili nikiwa advance shule fulani Kanda ya ziwa, kuna Tukio la kihalifu lilifanywa na baadhi ya wanafunzi hapo shuleni, ambapo wanafunzi walivunja kufuli za locker za wanafunzi wenzao kipindi wanafunzi wengine tukiwa prepo. Lkni baada ya uchunguzi walifanikiwa kutaja wahusika chakushangaza mimi pia nilitajwa na walimu kama mhusika, Aisee nilishangaa sana maana sikuhusika kwa namna yoyote na tukio Hilo. Utetezi wangu haukusaidia mimi kupewa suspension kuanzia mwezi wa 11 mpaka necta hii ilipelekea kufeli mitihani ya kidato cha sita.
Tukio la tatu, ni KIPINDI hichi nikiwa mwanachuo katika chuo cha diploma kada ya afya kozi medical laboratory. Kuna uhalifu umefanyika kwenye hostel za wanafunzi kuibiwa simu na pc. Ijapokuwa mimi nakaa nje ya chuo, lkn kuna mhalifu alikamatwa ambae si mwanachuo ni raia wa mtaani tu hivyo alivyokamatwa ktk mahojiano na Polisi alinitaja mm kwa majina kwamba ndie nimekuwa namsaidia kufanikisha uhalifu huo chuoni. Ilipelekea mm kukamatwa na kuwekwa lockup ilhali mimi sihusiki kabisa na nilitajihidi kujitetea hakuna anayenielewa. Sasa kesi yangu ipo kwenye bodi ya chuo nasubiri maamuzi tu. Na sjui kama nitafanya mitihani ya end of semister2
Nimekuja mbele yenu kuomba USHAURI juu ya haya matukio yanayonikumba maana nahisi kurogwa najiona sina thamani ya kuendelea kuwepo duniani.
Karibuni wakubwa zangu mnishauri nifanyaje mbona mimi tu!!
Unavuta bhangi? Sema ukweli wako.
Sipo makundi yoyote, na mshikaj din mzuri tu..Acha kujiunga na makundi usiyoendana nayo ! Ni ngumu sana mtu kutaja jina lako wakati hakufahamu ! Ni watu unaozunguka wanaona wewe ndo wa kuangushiwa jumba bovu !!
Na server za jamii forum zikipotea tunakutaja chimbo boy we subiri 😀😀😀
Nime ku dmNafsi yako inatumika sehemu.kuna madhabu ya kishetani mwilini mwako suluhu ni kanisani upo mkoa gani kuna roho inakufwatilia
Mkuu sivuti bangi, kiujumla situmii kilevi chchoteUnavuta bhangi? Sema ukweli wako.
Kiujumla tukuo la Kwanza alie nitaja namfahamu, lapili niliitwa tu na walimu.. Lkn hili la tatu nimestaajabu sana mtuhumumiwa ananitaja tena mbele yangu anakiri waz ku husika na Tukio na mm eti ndio mshirika wake.. Sura yake ni mara ya kwanza naionaHao wanaokutaja kwenye matukio mnakuwa mnafahamiana kabla hawajafanya matukio?
Changomoto kama hizo wewe siyo wa kwanza nimejifunza mambo mengi kwenye dunia hii hilo ni pepo la kukuchafua ili ukose amani.sasa ntakulushia namba ya mtumishi wa mungu utamweleza hiyo shida .tambua hiyo ni vita ya gizani japo **** watu watakukebehiNime ku dm
Amina mkuu nashukuru sanaChangomoto kama hizo wewe siyo wa kwanza nimejifunza mambo mengi kwenye dunia hii hilo ni pepo la kukuchafua ili ukose amani.sasa ntakulushia namba ya mtumishi wa mungu utamweleza hiyo shida .tambua hiyo ni vita ya gizani japo **** watu watakukebehi
Ndio mkuu nahitaji msaada wa harakaMkuu chimbo boy reply hapa nikupatie mambo mawili matatu wakati unatafuta solution ya kudumu
Punguza upwekeNdio mkuu nahitaji msaada wa haraka
Nashukuru dada yangu kwa USHAURI. Ntatendea kazi harakaPunguza upweke
Usishiriki tendo ndoa na wadada tofauti tofauti
Usiwe msiri sana
Usiwe na tamaa
Mwisho kabisaaa usijidhuru wala kujiwazia mabaya Mdogo wangu
NB:Hiyo ya nne ina uhusiano mkubwa na maoni ya wadau ya "copy" yako kutoka na kwenda kufanya uharibifu
USIJIUE USIJIDHURU, kwa imani yako nenda kwa kiongoz wako wa dini mueleze aksaidie kimaombi, anza tabia ya kisali asubuh mchana na usiku hata kwa dakika 1 tu inatosha... Kama utaweza pia kwa mwezi funga siku 3 mfululizo, ukiweza siku 7 mfululizo. Mungu yu pamoja nawe usiogope ni changamoto za kawaida ktk maisha
Usijali ila hapo kwenye dada edit Mimi ni "me"Nashukuru dada yangu kwa USHAURI. Ntatendea kazi haraka
pole sana kwa yanayo kusibu lakini cha msingi jaribu kuangalia maisha unayoishi na wanaokuzunguka pia jitazame wewe makundi unayoambatana nayo, je yanakustahiki?Shikamoni wakubwa zangu
Mimi ni kijana wa miaka 22, nimekuja mbele yenu kuomba USHAURI kwa haya yanayo ni kumba Katka maisha yangu hasa ya kielimu maana Nahisi Nimerogwa😑 kuna matukio kadhaa yamejitokeza katika harakat zangu za kielimu mpaka Nahisi Nimerogwa. Kuna matukio matatu ambayo mpaka Sasa sielew nimeikuta nimekata tamaa
Tukio la Kwanza nikiwa primary miaka kadhaa iliyopita, shule nilikuwa nasoma ya private iliungua ktk uchunguzi wa walimu katika Tukio Hilo Walifanikiwa kumtambua mtuhumiwa mmoja ambae Katika mahojiano zaidi alinitaja mimi kama mhusika wa tukio hilo ili hali kwamba mimi sikuhusika kwa namna yoyote ile😔 nilijaribu kujitetea lkn wapi, mwisho wa siku nilitimuliwa shule ile
Tukio la pili nikiwa advance shule fulani Kanda ya ziwa, kuna Tukio la kihalifu lilifanywa na baadhi ya wanafunzi hapo shuleni, ambapo wanafunzi walivunja kufuli za locker za wanafunzi wenzao kipindi wanafunzi wengine tukiwa prepo. Lkni baada ya uchunguzi walifanikiwa kutaja wahusika chakushangaza mimi pia nilitajwa na walimu kama mhusika, Aisee nilishangaa sana maana sikuhusika kwa namna yoyote na tukio Hilo. Utetezi wangu haukusaidia mimi kupewa suspension kuanzia mwezi wa 11 mpaka necta hii ilipelekea kufeli mitihani ya kidato cha sita.
Tukio la tatu, ni KIPINDI hichi nikiwa mwanachuo katika chuo cha diploma kada ya afya kozi medical laboratory. Kuna uhalifu umefanyika kwenye hostel za wanafunzi kuibiwa simu na pc. Ijapokuwa mimi nakaa nje ya chuo, lkn kuna mhalifu alikamatwa ambae si mwanachuo ni raia wa mtaani tu hivyo alivyokamatwa ktk mahojiano na Polisi alinitaja mm kwa majina kwamba ndie nimekuwa namsaidia kufanikisha uhalifu huo chuoni. Ilipelekea mm kukamatwa na kuwekwa lockup ilhali mimi sihusiki kabisa na nilitajihidi kujitetea hakuna anayenielewa. Sasa kesi yangu ipo kwenye bodi ya chuo nasubiri maamuzi tu. Na sjui kama nitafanya mitihani ya end of semister2
Nimekuja mbele yenu kuomba USHAURI juu ya haya matukio yanayonikumba maana nahisi kurogwa najiona sina thamani ya kuendelea kuwepo duniani.
Karibuni wakubwa zangu mnishauri nifanyaje mbona mimi tu!!
Acha kujiunga na makundi usiyoendana nayo ! Ni ngumu sana mtu kutaja jina lako wakati hakufahamu ! Ni watu unaozunguka wanaona wewe ndo wa kuangushiwa jumba bovu !!
Na server za jamii forum zikipotea tunakutaja chimbo boy we subiri 😀😀😀
Acha kujiunga na makundi usiyoendana nayo ! Ni ngumu sana mtu kutaja jina lako wakati hakufahamu ! Ni watu unaozunguka wanaona wewe ndo wa kuangushiwa jumba bovu !!
Na server za jamii forum zikipotea tunakutaja chimbo boy we subiri