Vegetarian tukutane hapa

plus_ix

JF-Expert Member
Jul 10, 2022
579
1,416
Habarin wana JF.

Nimeamua kuandika huu uzi juu ya changamoto ninazizipitia mimi ka vegetarian (mtu asiye tumia nyama) iko hivi mimi niliacha kula nyama na bidhaa zake mwaka 2017 mbaka sasa naeendelea na sina mpango wa kubadili maamuzi shida iliyopo ni jamii yangu wao hawataki kuamini kabisa kama hiki kitu kinawezekana.

Wengine wanasema nimerogwa jamaa zangu wakiwa wanaeenda kula bata wananiacha juu ya kutokula nyama hata nyumbani kwangu nimekuwa kikwazo wakipika nyama lazima wapike na mboga nyengine kwa jiri yangu vyakula wanavyopika vinavyochanganywq na nyama mimi vinanipita sili pizza sili bagga wanaona najitesa sana lakini bado nimesimama na msimamo wangu mimi sio rasta wala sina hitikadi za kirasta je wewe vegetarian mwenzangu ikoje?
 
Habarin wana JF . Nimeamua kuandika huu uzi juu ya changamoto ninazizipitia mimi ka vegetarian (mtu asiye tumia nyama) iko hivi mimi niliacha kula nyama na bidhaa zake mwaka 2017 mbaka sasa naeendelea na sina mpango wa kubadili maamuzi shida iliyopo ni jamii yangu wao hawataki kuamini kabisa kama hiki kitu kinawezekana wengine wanasema nimerogwa jamaa zangu wakiwa wanaeenda kula bata wananiacha juu ya kutokula nyama hata nyumbani kwangu nimekuwa kikwazo wakipika nyama lazima wapike na mboga nyengine kwa jiri yangu vyakula wanavyopika vinavyochanganywq na nyama mimi vinanipita sili pizza sili bagga wanaona najitesa sana lakini bado nimesimama na msimamo wangu mimi sio rasta wala sina hitikadi za kirasta je wewe vegetarian mwenzangu ikoje?
Turejee edeni
IMG-20231107-WA0024.jpg
 
Acha kujitesa kijinga. Lengo la kuwa veg ni nini!? Kuepuka magonjwa au hiyo lifestyle umeipenda?!
 
I'm not a vegetarian lakini najaribugi sana kukwepa vyakula vya nyama na mafuta yanayotokana na wanyama, the fact kwamba chakula ninachokula kimetokana na kifo cha mnyama fulani napata uchungu sana.

Nilijaribu kuwa veg kwa muda flani lakini nilishindwa kutokana na mazingira, kwaio kwa sasa najaribu tuu ku-avoid ila ikishindikana bac nakula hivohivo.
 
Habarin wana JF . Nimeamua kuandika huu uzi juu ya changamoto ninazizipitia mimi ka vegetarian (mtu asiye tumia nyama) iko hivi mimi niliacha kula nyama na bidhaa zake mwaka 2017 mbaka sasa naeendelea na sina mpango wa kubadili maamuzi shida iliyopo ni jamii yangu wao hawataki kuamini kabisa kama hiki kitu kinawezekana wengine wanasema nimerogwa jamaa zangu wakiwa wanaeenda kula bata wananiacha juu ya kutokula nyama hata nyumbani kwangu nimekuwa kikwazo wakipika nyama lazima wapike na mboga nyengine kwa jiri yangu vyakula wanavyopika vinavyochanganywq na nyama mimi vinanipita sili pizza sili bagga wanaona najitesa sana lakini bado nimesimama na msimamo wangu mimi sio rasta wala sina hitikadi za kirasta je wewe vegetarian mwenzangu ikoje?
Picha picha zikiwekwa hapa za some vegetables itapendeza zaid 😊😊😊
 
Back
Top Bottom