USHAURI: Nahisi nimerogwa

Dah, Hilo Jina tu unalolitumia hapa Lishaanza kututia Mashaka hata sisi hapa...!
Jiulize tu Kwanini kila Mara ni Wewe tu. Jitafakari Sana hlf Ubadilike...Badilisha Marafiki.....Anza kwenda Kanisani ama msikitini.
 
Mkuu nimejitahid yote hayo lkn haijafanya Kaz, sio hivyo tu imekua kila ni apo anza kufanya jambo jipya likikamilika bas kwangu ni sherehe
 
USIJIUE USIJIDHURU, kwa imani yako nenda kwa kiongoz wako wa dini mueleze aksaidie kimaombi, anza tabia ya kisali asubuh mchana na usiku hata kwa dakika 1 tu inatosha... Kama utaweza pia kwa mwezi funga siku 3 mfululizo, ukiweza siku 7 mfululizo. Mungu yu pamoja nawe usiogope ni changamoto za kawaida ktk maisha
 
Asante sana mkuu kwa ushaur
 
Kuna jamaa alikuwa anasimulia kwny kipind cha sitasahau RFA........aliwahi sema kuwa alikubwa na hicho Kitu ...

Inakuwaje
Nikwamba akiwa kazin copy yake inatoka then inarudi home na kuanza kuleta vurugu kitaa......mfano kusumbua watoto wa watu n.k
But mshkaji akirudi home anashangaa kesi ni nyingi mtaani

Dunia Ni Zaid ya tuijuavyo
 
Swala la kawaida tu na litapita,Mambo kama hayo yalishanikuta,iliwahi kuzingirwa nyumba kuna pikipiki ilipotea wakadai ipo geto kwangu,alikamatwa jambazi na wananchi kijiji jilani kabla hajauwawa akanitaja kua nahusika,ni mambo meng nikisema hapa kuna watu wataunga doti kunijua,nilikosa raha sana,huwezi amin ile mikosi ilikuja kuwa neema kwangu nakuwafunga midomo.
 
Back
Top Bottom