nimerogwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    Utofauti wa dini ulivyonifanya nikamkosa wife material, nataka kubadilisha dini je, nimerogwa?

    Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia, Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
  2. Escotter20

    USHAURI: Nahisi nimerogwa

    nice
  3. James Hadley Chase

    Mtu mwenye tabia hizi, ana tatizo gani?

    1. Napenda kujituma, yan nikiwa home wikiendi nikikuta mazingira ovyo, nayapangilia vizuri tu 2. Naweza kufanya usafi au kazi kuanzia asubuhi hadi jioni bila kuchoka wakati wenzangu kitu kidogo tu washachoka 3. Napenda kufua, kukunja nguo zangu 4. Kuosha vyombo pia, hata iwe ni saa 8 usiku...
  4. kwisha

    Nahisi kama nimerogwa

    Jamani yaani mwenzenu mimi nahisi kama nimerogwa hivi. Tangu nipate ajira nimekuwa mtu wa magonjwa tu yaani kila ikifika Jumamosi na Jumapili kunaibuka ugonjwa wa mpya. Hali hii inanisumbua kidogo, na kila nikifika hospitali hata kabla sijaonana na daktari nahisi napona au ugonjwa unazidi...
Back
Top Bottom