hujui cha kufanya kwa sababu tu kakupigia simu anakusalimia? hivi kuachana na msichana ndio chanzo cha uadui jamani?
to be fair, mwambie tu muwe na mahusiano ya kawaida kama binadamu wengine, suala la kusema eti anakufuatilia itakuwa unafiki tu, hapo tayari ushakuwa na muunganiko nae kiroho..
binafsi toka nianze kungia katika mahusiano, haijalishi nimevunja relationship ama la, namba za mabinti niliokuwa nao katika mahusiano bado ninazo katika simu, hata ikitokea kama nimepoteza, siku akinipigia na kujitambulisha kuwa ni fulani, wala hata sina shida, tunasalimiana vizuri na kuendelea na maisha kama MOLA alivyotuamuru....
Haina haja ya kumchukia mwanammke eti kisa mmeachana.