Ushauri: Mwanamke kanichanganya, nilimwambia asitoe mimba akatoa

Ushauri: Mwanamke kanichanganya, nilimwambia asitoe mimba akatoa

Mimi ukitoa yangu bila sababu yoyoye ya kiafya basi jua na wewe bye
 
Inawezekana alikuwa hakuamini kama utamuoa. Kama unampenda sana muoe akuzalie akiwa ndani. Na kama si chaguo lako kama mke. Basis achananae
 
Kama ameweza kukudanganya zaidi ya miez 7 tena kuhusu swala nyeti km kutoa mimba yako hyo hafai...lakufanya lipo wazi umeamua kukifumbia macho tu
 
Hahaha dada dori tuwe na huruma kidogo tupunguze hasira hiko kiumbe nacho kilihitaj kuonajua

Aone jua?! Litamlea hilo jua. Wangekuwa wanabeba mimba wanaume watoto wangekuwa wachache sana duniani kutokana na ubinafsi walionao hawa viumbe.
 
Last edited by a moderator:
KUNGURUHAFUGIKI

Achana naye, hakufai huyo! ni jizi mkuu, Mbona Tanga kuna mashine za ukweli na uhakika! Wengine tunazitafuta za huko Tanga, we vipi?
 
Last edited by a moderator:
Yaani baada ya huyu kukuaminisha kwamba analea mimba yako kumbe alishaitoa siku nyingi huku akiendelea kukuibia pesa zako bado unataka kuendelea na huyu mwizi!? SMDH!!!:confused2:

Tena nina wasi wasi kwamba hata hiyo mimba yenyewe alikuwa nayo!
 
Bei gani inatosha kulea mimba na mtoto kwa rimoti?
 
Katoa coz ueleweki kama karata dume! umembebesha mimba ukaenda tanga je huko iringa umemuacha kwa nani kwako,nduguyo,kwake,kwao,kwa nduguye au? Siku 1 nawe utakuwa na mwanao wa kike alafu jitu lije limpekenyueeeee limuache na kitumboo alafu akuambie amesema ataleeea hamna shida!
Hivi miezi yotee mbona sioni ulikosema ulirudi Iringa kumuona ama ulimuita ulipo akakataa???
Mwanaume chanzo cha mabadiliko na usichopenda kutendewa nawe usimtende mwenzio.
 
Habarini wanajamvi,

Mimi ni kijana naishi Tanga kikazi nimekuwa na mahusiano na binti mmoja yuko Iringa, ambaye nilimpa ujauzito nikiwa huko Iringa lakini pamoja na hayo alitaka kuitoa hiyo mimba nikamwambia hasitoe nitalea, nikiwa huku Tanga nimekuwa nikimtumia hela kipindi chote aliponiambia mjamzito mpaka sasa ni mwezi wa Tisa na nusu toka aniambie mjamzito.

Leo nimezungumza nae kwenye simu ananiambia mimba aliitoa muda mrefu sana ikiwa na miezi miwili na Dada yake ndiye aliempeleka aka toe na ananiomba msamaha nimsamehe turudiane tena na yuko tayari kubeba nyingine, nimechanganyikiwa nifanyaje ukizingatia nimetumia gharama nyingi sana kuhudumia na nilikuwa nampenda sana.

Wakuu naombeni ushauri

khaaaa....yani miezi tisa hata kwenda kumuona hujawai kwenda
 
Kama mwanao katolewa uhai,sasa hivi unafuata wewe kutolewa uhai.
 
Habarini wanajamvi,

Mimi ni kijana naishi Tanga kikazi nimekuwa na mahusiano na binti mmoja yuko Iringa, ambaye nilimpa ujauzito nikiwa huko Iringa lakini pamoja na hayo alitaka kuitoa hiyo mimba nikamwambia hasitoe nitalea, nikiwa huku Tanga nimekuwa nikimtumia hela kipindi chote aliponiambia mjamzito mpaka sasa ni mwezi wa Tisa na nusu toka aniambie mjamzito.

Leo nimezungumza nae kwenye simu ananiambia mimba aliitoa muda mrefu sana ikiwa na miezi miwili na Dada yake ndiye aliempeleka aka toe na ananiomba msamaha nimsamehe turudiane tena na yuko tayari kubeba nyingine, nimechanganyikiwa nifanyaje ukizingatia nimetumia gharama nyingi sana kuhudumia na nilikuwa nampenda sana.

Wakuu naombeni ushauri
Wewe jamaa una umri gani? Dem wako unayempenda kbs unampa mimba then anatoa kabla ya kujifungua tena anakuja kwako kuomba msamaha? Unamsamehe then unataka kumpa mimba ingine ? Omg tazama watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Mpenzi wako akitoa ujauzito na wewe tena ukakubari na ukatunga mimba ingine inabidi tukakupime akili kule milembe.
Ebu nambie kwanza umri wako.
 
Nakuomba Nereaaaaaaa
Usitoe mimba yangu eeeeee
Mungu akileta mtotooo
Ataleta saa ni yakeee

Mlete nitamleaaaaaaaaa
Usitoe mimba yangu eeeeee
Mungu akileta mtotooo
Ataleta saa ni yakeeee.

Dah maskini Obama wa baadae.
 
Nakuomba Nereaaaaaaa
Usitoe mimba yangu eeeeee
Mungu akileta mtotooo
Ataleta saa ni yakeee

Mlete nitamleaaaaaaaaa
Usitoe mimba yangu eeeeee
Mungu akileta mtotooo
Ataleta saa ni yakeeee.

Wale jamaa waliona mbali sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom