nilimwamini sana alikuwa akijilalamisha Mara Tumbo linamuuma anataka aende clinic kumbe alikuwa shetani tapeli
Hahaha dada dori tuwe na huruma kidogo tupunguze hasira hiko kiumbe nacho kilihitaj kuonajua
Yaani baada ya huyu kukuaminisha kwamba analea mimba yako kumbe alishaitoa siku nyingi huku akiendelea kukuibia pesa zako bado unataka kuendelea na huyu mwizi!? SMDH!!!:confused2:
KUNGURUHAFUGIKI
Achana naye, hakufai huyo! ni jizi mkuu, Mbona Tanga kuna mashine za ukweli na uhakika! Wengine tunazitafuta za huko Tanga, we vipi?
Mbona watoto wa kitanga wanachika kila siku? au umeoa huko? cha wote. Pole.
Habarini wanajamvi,
Mimi ni kijana naishi Tanga kikazi nimekuwa na mahusiano na binti mmoja yuko Iringa, ambaye nilimpa ujauzito nikiwa huko Iringa lakini pamoja na hayo alitaka kuitoa hiyo mimba nikamwambia hasitoe nitalea, nikiwa huku Tanga nimekuwa nikimtumia hela kipindi chote aliponiambia mjamzito mpaka sasa ni mwezi wa Tisa na nusu toka aniambie mjamzito.
Leo nimezungumza nae kwenye simu ananiambia mimba aliitoa muda mrefu sana ikiwa na miezi miwili na Dada yake ndiye aliempeleka aka toe na ananiomba msamaha nimsamehe turudiane tena na yuko tayari kubeba nyingine, nimechanganyikiwa nifanyaje ukizingatia nimetumia gharama nyingi sana kuhudumia na nilikuwa nampenda sana.
Wakuu naombeni ushauri
Wewe jamaa una umri gani? Dem wako unayempenda kbs unampa mimba then anatoa kabla ya kujifungua tena anakuja kwako kuomba msamaha? Unamsamehe then unataka kumpa mimba ingine ? Omg tazama watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa. Mpenzi wako akitoa ujauzito na wewe tena ukakubari na ukatunga mimba ingine inabidi tukakupime akili kule milembe.Habarini wanajamvi,