KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
- Thread starter
- #21
Mkuu thread hii inanikumbush my Ex nilimpiga chini hvyo hvyo.
had Leo anadai nimemuacha bila sababu means kutoa mimba aliona kawaida ila
me iliniuma!
now anasumbua sana kwa phone
anataka nimsamehe
by the way huyo co future wife
piga chini
kweli mkuu sitasahau nilimwamini sana kumbe ni nyoka