Ushauri: Mke wangu mchafu

Siye japo na huyu wng aliwAhi loweka mpaka funZa wakajitokeZa akazchimbia shimo
Kama umekiri kwamba hata hili uliweza vilia....

Basi nina mashaka kama kweli unazo akili timamu aiseeeee....
Maana hii ni zaidi ya lavu iz blaindi
 
Naona kabisa vile unavyo tamani ungekua ndio huyu jamaa.....
Bilashaka huyo mke ndipo angetambua kwamba maharage ni mboga ya serikali.....
Kabisaa mkuu, ni venye mie ni mwanamke. Aki angenyooka tu, kulishana nnya kisa nini jamani
 
Wakuu nnamachungu sana nataman kuondoka daah sjui nfanyaje na nkimfokea tu anampgia cm MAMA ake japo MAMA ake ni mtu mwema sana kwangu
Ona sasa unavyo jichanganya...

Kwahiyo huyo mke unavumilia kuishi nae hata kama haumpendi, kisa mama yake ni mtu poa na mwema sana kwako....

Hivi....
Ulioa mke, ama mama wa mke..!?
Aiseeeee.....
Minaona wewe dishi litakua limecheza
 
Nasikitishwa sana na wanawake wanaoponda huyo make ya mtoa siredi

Ukimwelimisha mwanamke umeelimisha ulimwengu jamani
Let's try to solve/ help our fellow women's problem ..yes try .ni mtazamo lakini

Opinions are not facts

Cc Smart911
 
Ulisaidiwa kuoa?
Yaani hukuyaona yote hayo kabla? Ata tudalili twa uchafu?
Au ndo love is blind???

Pole sana
Watu wanaroga wapate hiyo ndoa ndygu, baada ya hapo ni kilio, Nina ushaidi tosha kwangu mie mwenyeeewe, sasa mume anakiona cha moto, anatamani arudi alikotoka
 
Mbaya sana
 

Sasa kwenye makao makuu ya ndoa c ndio balaa?
 
Pole sana mkuu. Lakini, kwa kuwa ulisema weye ni mcha Mungu, basi vumilia na jitahidi kuuficha udhaifu wa mwenzako. Yeye angeweka madhaifu yako hapa ungeumia sana. Ila, najua kwa nini hutaki hata kumgombeza. Kwetu wanasemaga, Wanawake wachafu kihivyo, huwa watamuuuu sana. Naweza waamini magwiji hawa kuwa ni kweli.
 
Okay mshauri sasa juu ya mwanamke mwenzetu..
Ni mwanamke mwenzetu huyo ujue tusimkandamize

[HASHTAG]#komboawanawakewenzako[/HASHTAG]
Hapo la kwa kwanza akae azungumze nae,amueleweshe ,akiona hali mbaya haelewek na majib anayopewa mabovu,kiukwel hamna mwanamme anaependa kuishi na mwanamke mchafu anaenuka kama shombo na nyumba kunuka kama kidonda.

amtishie amwambie tu kua lazma apeleke ili suala kwa mama wa mwanamke ili ampe elmu juu ya usafi alaf aone atavoreact.amchukulie simple ivoivo akiona habadiliki hapo lazma achukue hatua..

Lazma akamueleze mzaz wa kike wa mwanamke ,na hamna mama anaetaka mwanae aishi maisha hayo ya uchafu lazma atamueleza na kumuelimisha kinagaubaga mwanae,ijiwezekana atamtafutia kungwi ili apate somo kdg,atabadilika taratibu.

still hajabadilika dawa yake mke wa pili tu mbn atajishuulikia bila kutaka uyo,atakua msafi kuliko ww mwanaume
 
Wako wengi tu, sema wengine wanabaki na maumiv moyoni,
Tena hawa wadada waliajiriwa na certificate na diploma wengi wao waliyo kwa ndoa ni wavivu/wachafu balaa!
Hata wa kwako kama hana certificate atakuwa diploma!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…