DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,556
- 99,413
- Thread starter
- #41
Tatizo liko wapi Kama anakupa kitu roho inapenda?Unachepuka hadi unajengea hawara nyumba, bure kabisaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko wapi Kama anakupa kitu roho inapenda?Unachepuka hadi unajengea hawara nyumba, bure kabisaaaa
Kumjengea Mchepuko sio kwamba una Ela nyingi,Unachepuka hadi unajengea hawara nyumba, bure kabisaaaa
Ha ha ha.....
Mchepuko hajazaa nae bado,Kwanza wewe na huyo jamaa mnatia aibu, mwanamke anawazidi vipi kwenye mbinu za kijasusi?
Inawezekana mwanamke hajui kiwanja ni cha mchepuko, unless tume establish chanzo cha taarifa.
Mwambie apige kimya hivyo hivyo, asijiguse na wakati wa mkataba aende na mke wake kimya kimya undava undava, bila kujitetea.
Mchepuko wamezaa naye? Kama sio mjue mnazingua, hakuna faida yeyote kwa mchepuko, zaidi ya matatizo tu, na uwajibikaji kama atakuwa na mtoto wenu.

Kumjengea Mchepuko sio kwamba una Ela nyingi,
Ni njia nzur ya kubana matumiz hasa Kama anakoishi unalipa Kodi kubwa sana.
Afu kingine ile nyumba ile bado Ni yako tu,
Mchepuko unamuweka pale aishi TUkwa utulivu,kila document imeandikwa jina lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani upuuz eti siyo POA kbsa kisa mbuzuzaUnachepuka hadi unajengea hawara nyumba, bure kabisaaaa
Duh!
Kwa kuwa mke hakukamilisha uandikaji wa mkataba wa mauziano, jamaa akaandikishe tu umiliki wa familia ( yy na mke), afu ajipange upya kumtafutia kwingine huyo mchepuko kama ataendelea naye.
Seems huyo wife anajua mengi juu ya mmewe na mchepuko kuliko mnavyofikiria!
Labda kafanya 'hacking' anapokea mawasiliano yoote mfululizo - wasap, sms, calls.. so anajua kila kitu!
Na kama ni hivyo, huyo jamaa yako itabidi tu ampe huyo mchepuko mafao ya maana (terminal benefits) afu aachane naye mazima ili kuokoa ndoa yake, au km dini yake inaruhusu, amuoe
Uko SAHII KABISANi nzuri kama unamke wa kipwani full kukupa mchezo enjoyable bila kelele kama hawa wanawake wa kibara. Wengine wake wasumbufu mtu unataka mchezo unapangiwa ratiba kama vile shirikisho la mpira.
Tunatafta michepuko sio kwa kuwa hatupendi uaminifu ila sababu inaboa kulazimisha sex na kugonga demu kama maiti hamna emotional connection during sex.
Wake wengi wana kero za uvivu wa kutoa penzi so unatafta sub tu anaekupa game kila saa unavyotaka wewe.
Mchepuko hajazaa nae bado,
Hapa Ndo Tunafanya uchunguz imevuja vipi Hii issue?
MKE kapata wapi namba ya mzee?
MKE kajua wapi Kia's kilichobaki Ni mil 2?
MKE kapajua vipi saiti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi chiefLkn story ya namna hi nilishawai ona mahali iko HV HV kuhusu kiwanja
Mtoto sio LAZIMA,Mnamjengea mchepuko nyumba Hana mtoto? Kweli kuwa uyaone.