Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

Unajua Joannah

Mtu ambae uwezo wake umeishia kwny kuhudumia vocha tu, atakushangaa utakaemlipia Kodi.

Pia Mtu ambae uwezo wake umeishia kwny kuhudumia kodi tu, pia atakushangaa utakaemnunulia nyumba mchepuko.

Kwaiyo tunarudi pae pale,
Kwamba Suala la kumhudumia mwanamke yeyote uliempenda Ni Jambo la levels TU.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Raisi anasema "kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake".
 
Hahahahah ya leo kali!

Ina maana shemeji yako alishasanukia mchongo ila kaamua akamalize show kibingwa. Sasa hapo mtachagua kusuka au kunyoa maana hamna jinsi zaidi ya kupiga kimya ni kumfata mwenye kiwanja na kumchana live tu kuwa show ishakuwa kali.
Huku kwangu alishapigwa ban hakuna kupekuapekua simu kabisa.
 
Back
Top Bottom