mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
mmmmhhh kwenye miti hakuna wajenzi...ni kumbembeleza mpaka atulie ukitumia nguvu na hasira umemkosa huyo
Huyo sasa........inabidi umuulize yeye binafsi anataka kufanya nini........vinginevyo unaweza kumchinja hadharani.........
Nieleweke ni ndugu yangu 'Damu' mtoto wa Baba Mkubwa.
Kamaliza form four mwaka 2010 kafail alipata ziro na 'D' moja tu, 2011 akareseat ndo kavurunda kabisa, 2012 nikamwambia njoo huku nchi jirani nilipo mie akaja akaanza kusoma Diploma ya HR kaharibu mbaya semister ya kwanza kachemsha na vitabia fulani sio vizuri.
Nikamrudisha home nikamwambia chagua usome nini he jibu nililopata nusu nizimie 'Dada mie kusoma siwezi' nikasema wataka nini sasa. Ngoja nifikirie mie haya he kaenda kwa Mdingi wangu ambaye ni Mdogo kwa Baba yake kawashiwa moto hatari kwa ujinga wake na ushauri wa kipumbavu wa marafiki katoroka akaenda kuishi hostel na rafiki anayesoma CBE.
Jana nimekwenda mahali kula kiti ya moto mara namuona kabeba tray anakuja kunihudumia mie mdomo wazi. Namuuliza hii ndo kazi uliyotaka kufanya ama?? Anaanza kulia eti dada nisamehe nimekosa pesa ya kula imebidi nifanye hii kazi nisaidie.
Mwenzenu mate yalinikauka, maneno yalipotea sikujibu hata neno moja kiti ya moto yenyewe ilikuja nikafunga hata apetite yote iliyeyuka.
Naomba ushauri wenu nifanyeje
Mfanye house girl!Nieleweke ni ndugu yangu 'Damu' mtoto wa Baba Mkubwa.

Eeeeeehhh umesema????
Kusoma kasema hawezi, baamedi wewe hupendi, la kati ni hilo ili umuangalie kwa ukaribu!Eeeeeehhh umesema????