Ushauri mie nipo njia panda

Ushauri mie nipo njia panda

kwakuwa anapenda hiyo kazi na ana uzoefu nayo mpe mtaji afunguwe kapub kake ka kishkaji na yeye ataajili pia.

Jirani yangu kuna mother mmoja ana bar macounter na wahudumu ni mabinti zake 3 warembo mmoja ana degree wa pili anafanya masters na watatu yupo Udsm.

Huwezi kuamini hii bar haina wateja wengi ila ndio inaongoza kwa mauzo. hii ni habari ya kweli na siyo story.

Yule binti wa kwanza anafanya kazi sehemu akirudi kazini ndio anajoin, mchana kama wote hawapo mama mtu anakomaa mwenyewe.
 
Huyo kwa swala la kusoma nazani kichwa kimegoma, wapo watu wa hivyo na ndo mana mkimkazania anaona mnampa shida manake ameshajijua hata iweje darasani hakuta kaa kupande, sasa basi we cha kufanya msamehe tu mchukue ukaishi nae na kwa type yake huyo salun naona ndo biashara itakayomfaa so kama mnajiweza wana ndugu mjichangishe mfungulieni salun aanzie hapo
 
kwakuwa anapenda hiyo kazi na ana uzoefu nayo mpe mtaji afunguwe kapub kake ka kishkaji na yeye ataajili pia.

Jirani yangu kuna mother mmoja ana bar macounter na wahudumu ni mabinti zake 3 warembo mmoja ana degree wa pili anafanya masters na watatu yupo Udsm.

Huwezi kuamini hii bar haina wateja wengi ila ndio inaongoza kwa mauzo. hii ni habari ya kweli na siyo story.

Yule binti wa kwanza anafanya kazi sehemu akirudi kazini ndio anajoin, mchana kama wote hawapo mama mtu anakomaa mwenyewe.

iiiimekaa vizuri
 
Yaani nakwambia 100000 Kshs sio mchezo na wakakataa kurudisha ada yaani natamani kumnyonya macho
Dena Amsi, huu ndio msimu wa intake mpya ya VETA, kuna saloon, mapishi, kushona na mengine kibao! Ada kwa mwaka akikaa boarding plus gharama zote za mwanafunzi ni ni 235, 000 Tshs!
 
Last edited by a moderator:
Bar/Grosary inalipa sana. Mfungulie ya kisasa apige mzigo na akiendelea vema yeye ndiye atakuwa supervisor na wakala mkubwa kabisa wa TBL maisha yataenda vizuri kabisa.
 
Muache tu auze mayai...mpe miaka miwili atakuja mwenyewe....kumzuia mtu asianguke na kujifunza ndo mnapo kosea
 
Dada Dena Amsi, kama ni wa kike inauma zaidi...POLE!!!

Nadhani mtafutieni kabiashara ka kufanya mumsimamie kidogo then akishakuwa stable anajiendeleza mwenyewe!!! Msimkatie tamaa tu tafadhali...
 
Last edited by a moderator:
Kuna wakati watu wengine wanachelewa sana kukua. Ni kuwasaidia jinsi inavyowezekana maana pengine hajitambui...kumpeleka shule mtu asiyejitambua ni issue
 
ushauri gani wakati kazi alishapata na anajiingizia kipato kwa kazi hiyo..tena ni nzuri tu maana unakotaka aende hawezi na ameshajaribu na yeye akakiri hawezi mambo ya shule sasa lingine lipi unataka.
 
Mfungulieni grocery na yeye atengeneze zake
 
Hiyo nayo kazi Dena... sasa nani aifanye
 
Dena Amsi, huu ndio msimu wa intake mpya ya VETA, kuna saloon, mapishi, kushona na mengine kibao! Ada kwa mwaka akikaa boarding plus gharama zote za mwanafunzi ni ni 235, 000 Tshs!

Labda veta short course, ila kama ni kusoma kozi nzima hawezi, veta kunahitaji akili wakati wa kufanya mitihani ya CBET, sasa kwakuwa huyo amesema hataki kusoma akachukue short course tu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wakati watu wengine wanachelewa sana kukua. Ni kuwasaidia jinsi inavyowezekana maana pengine hajitambui...kumpeleka shule mtu asiyejitambua ni issue

Kweli kabisa, mtu kama huyo anaona masomo aliyosoma ni magumuuu hivyo anahisi atafeli tena, ila akikaa miaka kama mitatu minne hivi kichwa kinapanuka na anaona kusoma ni kitu kidogo sana.
 
hilo ndo jibu ALIKUWA ANATAKA KUUZA BAA na angekwambia ungemkatalia coz ww unafikiri kila mtu anataka kukaa darasan pole sn........:thinking:
 
jaribuni kumpa elimu ya ujasiriamali then mpeni mtaji afanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom