Ingawa kimtazamo na kifikra tupo tofauti lakini haina maana nikupondane kama asilimia (yakufikirika) tisini (90%) ya watanzania walivyo.
Ben makala zako zinaleta changamoto ya kifikra lakini punguza au ondoa emotions (hisia) unapoandika. Unakuwa na makala nzuri lakini huna sababu ya kukejeli, kutukana au kudhihaki mtu. Nadhani unakosea kudhani kuwa message yako itafika ukikejeli mtu.
Muuone Lowasa ana impact kubwa lakini hadhiaki au kutukana mtu. Mwangalie Mbowe hakuwa na siasa za kejeli au dhihaka. Ni hivi punde tu sijui naye amepatwa na nini.
Jipambanue kama intelectual ndugu yangu...makala zako ni zaidi ya Chadema...fanya makala zako ziongee na watanzania wote na sio wanachadema tu pamoja na kuwa wewe ni mtumishi wake. Makala zako zina ukakasi punde tu unapoleta hisia zako na dhihaka nyingi.
Kumbuka kuna watu wengi wanazisoma ambao hawana vyama. Usiingie kwenye mtego wa Jenerali Ulimwengu ambaye hisia zake zimefanya makala zake haziko tena impartial kama zamani. Huu ni ushauri tu ndugu yangu.