Ushauri mdogo kwa Ben Saanane kuhusu makala zake

Ahsanteni !
Hii shukrani ina maana kubwa zaidi ya ulivyo itoa.
Umenifanya nianze kutafakari na kutamani kujua nini kimekujaa moyoni baada ya kusoma ushauri ulio pewa na mleta uzi.
Au ndio tuseme umem spare [emoji5] [emoji5]
 
Huo ushauli ungemsaidia sana ngosha maana lugha anayotumia haijengi bali ni kutugawa zaidi. Ben saanane apongezwe badala ya kumlaumu kwa lugha anayotumia maana kaongea bila kupepesa macho
Baba yako akikutukana na wewe unamtukana? nchi hii inamarais wangapi? ushauri huu umechelewa sana.
 
Hivi kwanini hakuna anayethubutu kumshauri Mkuu wa Kaya aachane na hotuba za kimipasho mipasho na badala yake mnasubiri watu wamkosoe halafu muje muwashauri? Kuwashauri wakosoaji hakutasaidia lolote bali mnachotakiwa kufanya ni kumshauri Mfalme aache kuropoka majukwaani.
 
Usiifiche hekima yako maandiko yanasema, hakuna mtu anayepinga Rais kukosolewa, kinachogomba hapa ni Rais kutukanwa na kudhihakiwa kama afanyavyo Ben kila siku, hili halikubaliki hata kidogo, nchi inaRais mmoja tu hii na ndiye mkuu wa nchi, haiwezi kuvumilika kuona watu wakiasi tena hadharani kwa kiwango kile, ule ni uhaini.
 
Ficha upu.mbavu wako usiifiche hekima yako maandiko yanasema, hakuna mtu anayepinga Rais kukosolewa, kinachogomba hapa ni Rais kutukanwa na kudhihakiwa kama afanyavyo Ben kila siku, hili halikubaliki hata kidogo, nchi inaRais mmoja tu hii na ndiye mkuu wa nchi, haiwezi kuvumilika kuona watu wakiasi tena hadharani kwa kiwango kile, ule ni uhaini.
Kwa Hiyo unamaanisha nini ndugu
 
Ingawa kimtazamo na kifikra tupo tofauti lakini haina maana nikupondane kama asilimia (yakufikirika) tisini (90%) ya watanzania walivyo.

Ben makala zako zinaleta changamoto ya kifikra lakini punguza au ondoa emotions (hisia) unapoandika. Unakuwa na makala nzuri lakini huna sababu ya kukejeli, kutukana au kudhihaki mtu. Nadhani unakosea kudhani kuwa message yako itafika ukikejeli mtu.

Muuone Lowasa ana impact kubwa lakini hadhiaki au kutukana mtu. Mwangalie Mbowe hakuwa na siasa za kejeli au dhihaka. Ni hivi punde tu sijui naye amepatwa na nini.

Jipambanue kama intelectual ndugu yangu...makala zako ni zaidi ya Chadema...fanya makala zako ziongee na watanzania wote na sio wanachadema tu pamoja na kuwa wewe ni mtumishi wake. Makala zako zina ukakasi punde tu unapoleta hisia zako na dhihaka nyingi.

Kumbuka kuna watu wengi wanazisoma ambao hawana vyama. Usiingie kwenye mtego wa Jenerali Ulimwengu ambaye hisia zake zimefanya makala zake haziko tena impartial kama zamani. Huu ni ushauri tu ndugu yangu.
Hakika wewe ni muungwana, pongezi zako
 
Huyo Beni anafahamika kwa upuuzi wake,
Wala hatusumbui ila atasumbuka yeye.
Hawa watu walizoea kudekezwa sana sasa ngoja dawa iwaingie,
Kama kejeli hizo ni zakitoto
Pia anawafurahisha wenzie tu, naamini ataacha
Huu sio mziki wakipimo chake.
Kama unapuuza upuuzi wa Ben basi automatically na wewe ni mpuuuzi.

Mpuuzi upuuuza upuuzi
 
Tuwekee yako uliemtaalamu tukusome Unasema Ben...hajui mambo ya uchumi sababu ameandika ndio maana tunamjadili sasa Wewe mtaalamu...andika hapa
Hii hapa chini ni miongoni mwa vipande vya makala za Beni,makala hii aliitoa baada ya raisi kutishia kuchapisha noti nyingine akiamini kuna watu wameficha pesa ndani.Hoja ya Magufuli ilikua ni kuondoa noti zilizopo na kuchapa nyingine,yaani kama hizi za sasa 10,000 ni nyekundu basi zinaondolewa zote na kuletwa 10,000 nyingine za rangi ya blue kwa idadi ile ile ya zile zilizondolewa.Beni anakwambia itasababisha inflation,kivipi wakati idadi na thamani ya pesa zitakazotolewa italingana na zitakazo chapishwa?

Hemu msome hapa uone alivyo mtupu kwenye uchumi na si kwamba anaonewa.

"Uchapishaji huo ni hatari zaidi kwa uchumi

Inaweza kupelekea kukawa na fedha nyingi kwenye mzunguko hivyo kusababisha uhaba wa bidhaa na huduma kulingana na idadi kubwa ya fedha zilizopo mitaani(Too much money chasing few products) na pia ununuzi wa bond za Serikali kusababisha kupanda bei katika masoko ya fedha kimataifa na hivyo kushusha thamani ya sarafu yetu zaidi na nchi yetu hii "Tanzania Ya Magufuli ya Viwanda" ikazidi kuwa hatari".

Huyo ndio saanane mtaalamu wa uchumi.
 
Ingawa kimtazamo na kifikra tupo tofauti lakini haina maana nikupondane kama asilimia (yakufikirika) tisini (90%) ya watanzania walivyo.

Ben makala zako zinaleta changamoto ya kifikra lakini punguza au ondoa emotions (hisia) unapoandika. Unakuwa na makala nzuri lakini huna sababu ya kukejeli, kutukana au kudhihaki mtu. Nadhani unakosea kudhani kuwa message yako itafika ukikejeli mtu.

Muuone Lowasa ana impact kubwa lakini hadhiaki au kutukana mtu. Mwangalie Mbowe hakuwa na siasa za kejeli au dhihaka. Ni hivi punde tu sijui naye amepatwa na nini.

Jipambanue kama intelectual ndugu yangu...makala zako ni zaidi ya Chadema...fanya makala zako ziongee na watanzania wote na sio wanachadema tu pamoja na kuwa wewe ni mtumishi wake. Makala zako zina ukakasi punde tu unapoleta hisia zako na dhihaka nyingi.

Kumbuka kuna watu wengi wanazisoma ambao hawana vyama. Usiingie kwenye mtego wa Jenerali Ulimwengu ambaye hisia zake zimefanya makala zake haziko tena impartial kama zamani. Huu ni ushauri tu ndugu yangu.
Ushauri muhimu sana kwa kweli Ben namkubali sana lakini kwa Sasa mihemuko imemzidi hadi anaudhi.
 
Huo ndiyo udhaifu wake mkubwa nguli huyu wa tasnia ya habari
 
Umetoa ushauri mzuri.

Ushauri huu ingefaa pia aupate rais wetu, maana anaamini yeye ni Rais wa CCM japo akitamka anasema ni wa Watanzania wote. Jaribu kumshauri katika hili.
 
Usiifiche hekima yako maandiko yanasema, hakuna mtu anayepinga Rais kukosolewa, kinachogomba hapa ni Rais kutukanwa na kudhihakiwa kama afanyavyo Ben kila siku, hili halikubaliki hata kidogo, nchi inaRais mmoja tu hii na ndiye mkuu wa nchi, haiwezi kuvumilika kuona watu wakiasi tena hadharani kwa kiwango kile, ule ni uhaini.

Hata kwenye familia baba huwa ni mmoja tuu, lakini kama kila siku anarudi kalewa na kujisaidia kwenye nguo zake ni makosa kwa watoto kusema "baba mlevi"? Hiyo itakuwa ni dhihaka au ndio ukweli wenyewe?
Na huyo baba ili asiitwe jina hilo ni kuacha huo ulevi tuu.
 
Ingawa kimtazamo na kifikra tupo tofauti lakini haina maana nikupondane kama asilimia (yakufikirika) tisini (90%) ya watanzania walivyo.

Ben makala zako zinaleta changamoto ya kifikra lakini punguza au ondoa emotions (hisia) unapoandika. Unakuwa na makala nzuri lakini huna sababu ya kukejeli, kutukana au kudhihaki mtu. Nadhani unakosea kudhani kuwa message yako itafika ukikejeli mtu.

Muuone Lowasa ana impact kubwa lakini hadhiaki au kutukana mtu. Mwangalie Mbowe hakuwa na siasa za kejeli au dhihaka. Ni hivi punde tu sijui naye amepatwa na nini.

Jipambanue kama intelectual ndugu yangu...makala zako ni zaidi ya Chadema...fanya makala zako ziongee na watanzania wote na sio wanachadema tu pamoja na kuwa wewe ni mtumishi wake. Makala zako zina ukakasi punde tu unapoleta hisia zako na dhihaka nyingi.

Kumbuka kuna watu wengi wanazisoma ambao hawana vyama. Usiingie kwenye mtego wa Jenerali Ulimwengu ambaye hisia zake zimefanya makala zake haziko tena impartial kama zamani. Huu ni ushauri tu ndugu yangu.
Mkuu huyo ndo "Think Tank" wa viongozi wa CHADEMA ambao wamewakaribisha mfisadi chamani, na wao wenyewe kuendeleza ufisadi kwa kutolipa kodi.
I honestly don't expect anything of substance from that end!
 
Hii hapa chini ni miongoni mwa vipande vya makala za Beni,makala hii aliitoa baada ya raisi kutishia kuchapisha noti nyingine akiamini kuna watu wameficha pesa ndani.Hoja ya Magufuli ilikua ni kuondoa noti zilizopo na kuchapa nyingine,yaani kama hizi za sasa 10,000 ni nyekundu basi zinaondolewa zote na kuletwa 10,000 nyingine za rangi ya blue kwa idadi ile ile ya zile zilizondolewa.Beni anakwambia itasababisha inflation,kivipi wakati idadi na thamani ya pesa zitakazotolewa italingana na zitakazo chapishwa?

Hemu msome hapa uone alivyo mtupu kwenye uchumi na si kwamba anaonewa.

"Uchapishaji huo ni hatari zaidi kwa uchumi

Inaweza kupelekea kukawa na fedha nyingi kwenye mzunguko hivyo kusababisha uhaba wa bidhaa na huduma kulingana na idadi kubwa ya fedha zilizopo mitaani(Too much money chasing few products) na pia ununuzi wa bond za Serikali kusababisha kupanda bei katika masoko ya fedha kimataifa na hivyo kushusha thamani ya sarafu yetu zaidi na nchi yetu hii "Tanzania Ya Magufuli ya Viwanda" ikazidi kuwa hatari".

Huyo ndio saanane mtaalamu wa uchumi.
Hiyo makala nimeisoma nilitaka kusoma yakwako pia ndugu!
 
Back
Top Bottom