Ushauri mdogo kwa Ben Saanane kuhusu makala zake

Ushauri mdogo kwa Ben Saanane kuhusu makala zake

Umesahau kumwambia aandike makala zoote ila zakiuchumi aache ni mtupu sana huko kwenye uchumi.
Baada ya kuchinjiwa baharini kule rombo wanamfariji kwa cheo cha Mkuregenzi wa sera na utafiti, sijui kama anakitendea haki kwa kejeli zake hizi.
 
Huyo Beni anafahamika kwa upuuzi wake,
Wala hatusumbui ila atasumbuka yeye.
Hawa watu walizoea kudekezwa sana sasa ngoja dawa iwaingie,
Kama kejeli hizo ni zakitoto
Pia anawafurahisha wenzie tu, naamini ataacha
Huu sio mziki wakipimo chake.
 
Je chanzo cha Ben Saanane kuandika hizo makala ni nini? Tafuta chanzo na ukishauri na sio outcome.
 
Ingawa kimtazamo na kifikra tupo tofauti lakini haina maana nikupondane kama asilimia (yakufikirika) tisini (90%) ya watanzania walivyo.

Ben makala zako zinaleta changamoto ya kifikra lakini punguza au ondoa emotions (hisia) unapoandika. Unakuwa na makala nzuri lakini huna sababu ya kukejeli, kutukana au kudhihaki mtu. Nadhani unakosea kudhani kuwa message yako itafika ukikejeli mtu.

Muuone Lowasa ana impact kubwa lakini hadhiaki au kutukana mtu. Mwangalie Mbowe hakuwa na siasa za kejeli au dhihaka. Ni hivi punde tu sijui naye amepatwa na nini.

Jipambanue kama intelectual ndugu yangu...makala zako ni zaidi ya Chadema...fanya makala zako ziongee na watanzania wote na sio wanachadema tu pamoja na kuwa wewe ni mtumishi wake. Makala zako zina ukakasi punde tu unapoleta hisia zako na dhihaka nyingi.

Kumbuka kuna watu wengi wanazisoma ambao hawana vyama. Usiingie kwenye mtego wa Jenerali Ulimwengu ambaye hisia zake zimefanya makala zake haziko tena impartial kama zamani. Huu ni ushauri tu ndugu yangu.
Macho hukosa umuhimu ikiwa ubongo haufanyi kazi yake..... kwanini umeanza na Beni? Unadhani anayoyafanya Beni yana impact kubwa kuliko ayafanyayo "Ngosha ze don"? Ushauri wako ni mzur ila ungeupeleka pale magogoni nadhani ingesaidia. Mwambie mkulu aache mihemko, atumie hoja zenye mantiki, hivi vioja havisaidii... siku hiz speech zake zimekuwa ni kama kusikiliza futuhi tu! Zinatuduwaza, zinatustaajabisha, zinatukerehesha, zinatuchekesha halafu tunaziacha kama zilivyo tukisubiri speech nyingine.. sio kama futuhi bali ni futuh kwa hakika.
 
Umesahau kumwambia aandike makala zoote ila zakiuchumi aache ni mtupu sana huko kwenye uchumi.
Tuwekee yako uliemtaalamu tukusome Unasema Ben...hajui mambo ya uchumi sababu ameandika ndio maana tunamjadili sasa Wewe mtaalamu...andika hapa
 
Mimi sijaongelea kuhusu vyama. Wewe usinipeleke huko. Mimi namuongelea Ben kama intellectual na nafasi yake yakuwa na makala ambazo hazina kejeli au dhihaka.
Mkuu tunaongea Lugha 1 nadhani tunatofautiana padogo sana....Unamlaumu kwa Lugha za kejeli au kwakuegemea chama chake?
 
Back
Top Bottom