Ushauri!Mapenzi yanamtesa dada yangu!

Ushauri!Mapenzi yanamtesa dada yangu!

Wewe unaogopa kuolewa kwanza kwa sababu dada yako bado?

Ungetupa maelezo zaidi kuhusu dada yako na huwa ana date watu wa namna gani?

Vinginevyo ngumu kumshauri maana hatujui wapi anakosea.

Umenena mkuu!
 
Something gotta be wrong with either her personality or ethical strength
 
Yote yaweza kuwa kweli ila sijui jinsi ya kumsaidia na sipendi kumuona analia!nishauri mkuu
 
sio kila mwanamke anaolewa na si kila mwanaume anaoa....

Akijipenda akajithamini atayakubali maisha yake

maisha ni zaidi ya mwanaume na mwanamke hata biblia inatambua na inaeleza wale ambao hawajaoa au kuolewa watumie maisha yao kuifuata njia ya Mungu (kama ni muumini)

kama unaona mwanaume ndo kila kitu mshauri akatafute serengeti boi amuoe

Nimepapenda kweli hapa BADILI TABIA nikienda intaneti kefu nitakugongea like..... Kuna wadada/wanawake wamekariri hakuna maisha bora na furaha pasipo mwanaume lol... Wananikerajeeeee!!!!!""
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jamii! Naombeni ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!Amefanya kila kitu kuna kipindi alihisi labda hajui kitu kitandan akatafuta hawa makugwi akafundishwa ila bdo hali ni ile ile,tukasema labda ni jini mahaba ila kaombewa sana tu ila hamna madiliko hii kitu inamuumiza kiasi cha kwamba alikunywa sumu sababu haoni thamani ya mwili wake!Nahofia siku nitakayotaka kuolewa mimi anaweza kufa kwa kweli!Sijui shida ni aina ya wanaume anaokuwa nao,au kweli ni pepo mi hata sielewi!Nishaurini plz kwasababu chozi lake ni linanikosesha amani!

Kama tabia yake ni nzuri basi anamatatizo ndani ya mwili wake i mean kuna vitu mwanaume anashindwa kuvivumilia kuendelea nae,mfano wa hivyo vitu ni kama vile ,ukubwa wa k yake,may be anatoa harufu wakati wa majambozi,au anatoa maji mengi, au ni mkavu sana maeneo ya kule kwetu,waweza ukafikili natania ila kama atakuwa ni mtu wako wa karibu kaa nae ili mzungumze kwa ndani zaidi inawezekana tatizo likawa ni mojawapo ya hayo matatizo niliyotaja au likafanania na matatizo niliyo taja hapo juu.SITANII NA SINA SABABU YA KUMTANIA MTU NISIYEMJUA..
 
Habari wana jamii! Naombeni
ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni
hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka
naye lazima amuache!Amefanya kila kitu kuna kipindi alihisi labda hajui
kitu kitandan akatafuta hawa makugwi akafundishwa ila bdo hali ni ile
ile,tukasema labda ni jini mahaba ila kaombewa sana tu ila hamna
madiliko hii kitu inamuumiza kiasi cha kwamba alikunywa sumu sababu
haoni thamani ya mwili wake!Nahofia siku nitakayotaka kuolewa mimi
anaweza kufa kwa kweli!Sijui shida ni aina ya wanaume anaokuwa nao,au
kweli ni pepo mi hata sielewi!Nishaurini plz kwasababu chozi lake ni
linanikosesha amani!

awe mvumilivu tu atampata wa ukweli, na angekuwa under 27 na kama yuko serous, ningemuomba awe na mm
 
Natamani sana hayo mawazo yahamie kichwani kwa dada yangu!
 
Asantee dada yangu!kuna kipindi nilimuuliza kuhusu ili swala akanijibu yeye yuko sawa!ila itabidi nikae niongee naye kwa mara nyingine

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Asante mkuu!

In life try to natural!
 
Unamwamini Mungu katika Yesu Kristo? Kama ndio kaa katika maombi. Soma Habakuki 2:3
 
Habari wana jamii! Naombeni ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!Amefanya kila kitu kuna kipindi alihisi labda hajui kitu kitandan akatafuta hawa makugwi akafundishwa ila bdo hali ni ile ile,tukasema labda ni jini mahaba ila kaombewa sana tu ila hamna madiliko hii kitu inamuumiza kiasi cha kwamba alikunywa sumu sababu haoni thamani ya mwili wake!Nahofia siku nitakayotaka kuolewa mimi anaweza kufa kwa kweli!Sijui shida ni aina ya wanaume anaokuwa nao,au kweli ni pepo mi hata sielewi!Nishaurini plz kwasababu chozi lake ni linanikosesha amani!

Ha ha ha ha ha!!! Wanawake dizaini hiyo mbona wapo wengi sana tu hapa duniani. Mwambie aendelee na maisha yake, siku ya kumpata mwanaume wa kweli itafika, hata kama ni miaka 50. Rejea ndoa ya mangula na yule mama. Umenipata.

Dada yng ni mpole mtaratibu,na kuhusu usafi naweza sema ndo mtoto pekee ambaye mama anapenda aende kusalimia coz si wengine tunaonekana wavivu!pia hana matatizo yoyote ya afya na kuhusu mapenzi yeye ndo unifundisha mimi jinsi ya kukaa na mpenzi! Na kuhusu elimu ana MBA! Mi hta sielewi shida inakuja wap!

shida ni mpole na mtaratibu mno. hana challenge. mwambie awe crazy kidogooooooooo
 
Wachache sana watakuelewa

Lakini ndio ukweli wenyewe

sio kila mwanamke anaolewa na si kila mwanaume anaoa....

Akijipenda akajithamini atayakubali maisha yake

maisha ni zaidi ya mwanaume na mwanamke hata biblia inatambua na inaeleza wale ambao hawajaoa au kuolewa watumie maisha yao kuifuata njia ya Mungu (kama ni muumini)

kama unaona mwanaume ndo kila kitu mshauri akatafute serengeti boi amuoe
 
unamaanisha nini ayanda?

namaanisha kwamba atakua ni mpole sana hadi anaboa, yani yeye kila anachoombwa au anachoambiwa anatekeleza bila hat kuquestion. In short she acts too desperate.

haya mapenzi ukiwa too availble kwa mwenzako, basi unapoteza ile sense ya attraction maana upo too available. kwahiyo ni bora awe na life yake na asikkubali kufanya kila analoaambiwa, ajitambue na kujipenda.

hii pia ni kwa wanaume, maana wengine mnafanya everthing mwanamke anachokwambia bila kujua mwenzio anakuona boya tu maana anajua amekushika, inabidi uwe na msimamo binafsi pia.
 
noted with appreciation

Back
Top Bottom