cuchi
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 218
- 74
Habari wana jamii! Naombeni ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!Amefanya kila kitu kuna kipindi alihisi labda hajui kitu kitandan akatafuta hawa makugwi akafundishwa ila bdo hali ni ile ile,tukasema labda ni jini mahaba ila kaombewa sana tu ila hamna madiliko hii kitu inamuumiza kiasi cha kwamba alikunywa sumu sababu haoni thamani ya mwili wake!Nahofia siku nitakayotaka kuolewa mimi anaweza kufa kwa kweli!Sijui shida ni aina ya wanaume anaokuwa nao,au kweli ni pepo mi hata sielewi!Nishaurini plz kwasababu chozi lake ni linanikosesha amani!