Ushauri!Mapenzi yanamtesa dada yangu!

Ushauri!Mapenzi yanamtesa dada yangu!

kiukweli hakuna dawa nzuri ya kudumu na mpenzio ililyonzuri zaidi ya "KUJITAMBUA WEWE NI NANI, UNA NAFASI GANI NA NAMNA UNAVYOJIWEKA MBELE YA YULE UNAE TARAJIA KUWA MKE,MPENZI AU RAFIKI yako. Ni hayo tu.
 
mbona mimi nina miaka 46 na sina mume?
maisha ni zaidi ya kuolewa, na kuolewa sio njia pekee ya kuwa na furaha ya rohoni; waulize waliomo wakiwa honest watamwambia.
Ana mkufuru sana Mungu kwa kufikiria kuuondoa uhai wake; huko kuombewa alienda ili apate mume au aondokane na minyororo ya shetani?
What if mume ambaye angemuoa angekuja kumuua kwa magonjwa au vipigo? what if huyo mume ambaye angemuoa angemfanya asiwe na mahusiano mazuri na muumba wake? Tunapoomba tusipopewa sio maana yake Mungu hatusikii lakini anataka atupe kile kinachotufaa na kwa muda unaofaa.Sisi tunaona kwa urefu wa pua tu lakini Mungu anaona in all dimensions na sio 3D tu!
 
Back
Top Bottom