Ngoja waje wataalam, lakini nikiangalia tangia mda ambao umejiunga humu,umepokea likes 24,wewe hujatoa hata moja.Tukianzia hapo,inawezekana mna asili fulani ya uchoyo!Samahani lakini.
Acha kumdanganya mwenzio wewe. Wewe Mbona una linjemba. Ameshajipenda vya kutosha ndio anatafuta wa kushare nae Hilo penzi.kwani lazima awe na mwanaume?
Mwambie ajithamini na kujipenda mwenyewe
nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!
Hahahahaha haina haja ya samahan coz imenibidi tu nicheke!ila sio wachoyo sisi
Nimekubali siyo wachoyo nyie, kwani sister mwenyewe anaonekana kisha toka na wengi.
Kama tabia yake ni nzuri basi anamatatizo ndani ya mwili wake i mean kuna vitu mwanaume anashindwa kuvivumilia kuendelea nae,mfano wa hivyo vitu ni kama vile ,ukubwa wa k yake,may be anatoa harufu wakati wa majambozi,au anatoa maji mengi, au ni mkavu sana maeneo ya kule kwetu,waweza ukafikili natania ila kama atakuwa ni mtu wako wa karibu kaa nae ili mzungumze kwa ndani zaidi inawezekana tatizo likawa ni mojawapo ya hayo matatizo niliyotaja au likafanania na matatizo niliyo taja hapo juu.SITANII NA SINA SABABU YA KUMTANIA MTU NISIYEMJUA..
binafsi hata sikumbuki kuwa nilitoka na wangapi, ila nilipochumbiwa mtarajiwa wangu hakuniiuliza kama nilitoka na wangapi, nilifanya mara ngapi..., mbona machangudoa wanaolewa, tumeshuhudia makahaba wakifunga ndoa... sembuse huyo binti Sayuni?