Hapa kuna vitu vya kuangalia kwanza
- umri wake ukoje??
- je Body structure yake ikoje
- Heshima kw ampenzi wake ikoje
- Je anakipato kiasi gani??
- Je elimu yake ikoje?
- Madaraka yake yakoje??
- Je anamatatizo gani ya kiafya nikiwana maana kuwa yawezekana anatatizolakiafya mfano ananuka mdomo,ananuka kwapa,ananuka mashine nk
- Je anamatatizo yoyote kisaikolojia,ya wezekana anakujoa kitandani,Yawezekana ni mchafu uvunguni mwake!
- Au ni mshamba hajui kuvaa
- au ni aambiliki!
- Au ni mjivuni??
Katika ya hizo sababu yawezekana anazo na akiwa nazo mbili hadi tatu ni tatizo mfano ni kikojozi huyu awezi kuishi namtu hasa kwa wanaume wasasa wasiojua kumvumilia mtu!Yawezekana anapesa,elimu kubwa,madaraka vyote anataka kuvionyesha kwa mwanaume,hili nalo nitatizo kuu,Mimi ninaona nimengi ilitakiwa uweke nini wasifu wake tungeweza kukwambia labda nini kinachomfanya awe hivyo!!