Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Naomba kutoa angalizo.

Mimi binafsi mwanzisha uzi sijawahi kuweka namba yoyote ya mtu yeyote katika uzi huu au PM kwa mtu.

Na wote niliowahi kuwasaidia sikuwahi kuwapa namba yoyote ya mtu awaye yote.

Zingatieni hili msije tapeliwa.

Ahsante.
 
Back in the day... tujikumbushe.

The guy, possibly, was trying to collect many essays from different writers so that he can apply himself.

In other words, the so called 'connection provider' for applicants, was an applicant too to the same scholarship. 😂

Maisha ujanja ujanja!

-Kaveli-
Daa jamaa nikajuaga yuko 'front' huko as per his experience in contribution na uelewa wake wa kuhusu nje na fursa. Alikuaga na lengo la kuunganisha watu pia nakumbuka ila wadau wapo waliokua wanakatishana tamaa na kukosoa wakimuua kinoma. Mwishoni ikaisha connections zote.
Uzi ulinoga sana.
Ila mzee kavelli, unauelewa mzuri mzee baba na unajiamini na kuamini unachoamini. Uko vizuri, na mtafutaye hachoki. Njia za kwenda ni nyingi mno ila nilichogundua ukiwa na pesa asilimia za kufanikiwa kwenda nje ni kubwa mno kuliko njia zingine hizi. hata ukipata mchongo kama ambavyo hapa mjini dsm wengi walivyosepa na wanavyosepa kwenda nje, bado utahitaji pesa kadhaaa kwa hatua husika.
Kutokata tamaa tu.
Aluta continua comrade
 
Humu hapakuwa na 'connection' wala dada yake na connection. Just michosho na miyeyusho!

This thread was put on board kwa malengo fulani fulani. Akili kumkichwa!

Though, kwa angle nyingine, the thread sounds informative for risk-takers, global goers, and the like-minded.

Thanks mkuu for following-up my case from the scratch until end of the movie. cheers...

-Kaveli-
 
Jamani kuna Agent ame jitangaza ktk group fulani huko Cape town SA jamaa yangu ame nipa hii connection km vp walio serious tumtathini huyu Agent. Sa'bu naona humu watu hawatoi taarifa zilizo nyooka,na Tz tulivyo wachoyo wa connection.
Waliopo ktk hilo group hii information watakua wana ijua

Kwa mahitaji ya Visa zenye uhakika kwa nchi kama
Canada
United states of America
Schengen countries all countries guaranteed
Inbox or call: 0622006139
Hii namba ni ya nchi gani??maana haina code ya nchi

Sent from my LG-M250 using JamiiForums mobile app
 
Humu hapakuwa na 'connection' wala dada yake na connection. Just michosho na miyeyusho!

This thread was put on board kwa malengo fulani fulani. Akili kumkichwa!

Though, kwa angle nyingine, the thread sounds informative for risk-takers, global goers, and the like-minded.

Thanks mkuu for following-up my case from the scratch until end of the movie. cheers...

-Kaveli-
Mleta mada alikuwa na lengo zuri sana bahati mbaya kuna watu waliuvamia huu uzi, mmoja wapo ni yule aliyekupa mchongo wa Scholarship, by the way haya mambo yapo sana kwenye travel threads hata ukiwa nairaland, read between the lines, ndani ya thread lazima ukute wawindaji, akili kichwani. Muhimu ni kujipanga hakuna mtu atakupa safari hata siku moja, utapata abc the rest ni kujipanga
 
Back
Top Bottom