chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,695
- 22,719
We mn.jinga acha ku tag watu bila sababu za msingi ,Majibu yako ni kama yafuatayo:
1. Mimi siyo ' Much Know ' au sijui ' Genius ' ila ambacho nina uhakika nacho tena kwa 100% kuwa I am ' Knowledgeable ' kwakuwa napenda kufuatilia mambo mengi, kujua Vitu vingi, Kusoma sana na ni Mdadisi mzuri wa Masuala. Jibiidishe sana kutumia muda wako mwingi kutafuta ' Maarifa ' mengi na huu muda unaoutumia kuonyesha Chuki zako / Kisununu Kwako kwa GENTAMYCINE utumie katika Kuimarisha ' Ubongo ' wako ambao una mapungufu makubwa ya ' Madini ' ya Akili / Fikra.
2. Kuhusu RC Makonda kuwepo hapa JF au hapana nadhani kwa hili Swali lako umeshathibitisha kuwa ni jinsi gani Baba yako ' Mbegu ' zake alizokufanya uzaliwe bora tu angezimwagia pembeni ili Taifa la Tanzania lisipate Hasara hii kubwa kwani haihitaji akili kubwa kujua kwamba hapa hapa JF RC Makonda ana ' ID ' yake na wapo wanaoijua na ukiachilia hiyo pia anayo nyingine kwa sasa na katika ' Followers ' wangu 67 hadi sasa nae yumo na haachi Kuifuatilia hii ' ID ' yangu GENTAMYCINE hivyo nilichokifanya kwa Kuanzisha huu ' Uzi ' nina uhakika nacho kwa 100%
Hata hivyo ukiachilia mbali hilo hapa JamiiForums kuna ' Members ' wengi sana ambao huwa wanawaanzishia ' threads ' mbalimbali ' Public Figures ' wa nchini lakini cha Kusikitisha sijawahi hata Siku moja Kukuona ukiwasema au ukiwakemea ila Nyege zako tu ' Mshindo ' zimekuelekeza ' ujipendekeze ' kwa GENTAMYCINE ili ukishajibizana nae basi na Wewe ujulikane kwakuwa hakuna asiyejua kuwa hii ' Brand ID ' na ' Talk of the Town ID ' hivyo unautafuta ' Umaarufu ' kupitia mgongo wangu na naamini kwa ile ' Dozi ' kali niliyokupa jana katika ' Uzi ' wangu wa Kuwatania ' Watani ' zangu Wahaya kwa Msiba mkubwa wa Marehemu Ruge na kwa majibu haya ya sasa katika huu ' Uzi ' basi tayari Nyota yako itakuwa imetengemaa na sasa nawe utajulikana na kufuatiliwa.
3. Hii hoja ya kwamba sijui GENTAMYCINE anajifanya ni Usalama wa Taifa ( TISS ) hujaanza kuisema au kuileta Wewe hapa na nimeshawaambieni ' Wapumbavu ' nyie wote kwamba kama kuna Mtu ambaye ana ' Ushahidi ' ulio ' very Vivid ' kwamba Mimi nimeshawahi Kujitangaza au 'Kujibaraguza ' hapa JamiiForums kuwa ni Usalama wa Taifa basi auweke hapa hadharani ili niumbuke na ikibidi hata Wahusika wenyewe ( Wana Usalama wa Taifa ) waanze Kunifuatilia na Kunichukulia hatua Kali na za Kinidhamu kwani najua uwezo huo wanao wakiamua hata sasa kwakuwa kwa Mafunzo yao ya Kutukuka hakuna ambacho wakikiamua watakishindwa.
4. Unaposema kuwa huwa nakuchosha kwa ' Threads ' zangu nadhani bado unaendelea Kudhihirisha ' how CERTIFIED FOOL ' you're kwani tokea nijiunge hapa JamiiForums na Kuanzisha Kwangu ' Threads ' sijawahi hata Siku moja Kumlazimisha Mtu ( Member ) yoyote awe anazifungua na haitotokea hata Siku moja Mimi kufanya hivyo ila ninachojua na ambacho pia nina uhakika nacho kwa 100% ni kwamba ' Mvuto ' wangu hapa Jamvini unatokana na haya maneno ' Kuntu ' yanayopatikana katika hii ' Signature ' yangu ya " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " bila kusahau aina ya Kipekee ya Uandishi wangu ambao umejawa na Vitu vingi ambavyo ni lazima tu vitakufanya ufungue na usome na nina uhakika hata Wewe ' Mpumbavu ' wa Dunia / Ulimwengu sababu hizo hizo ndizo zimekufanya kila mara upende ' Kumshobokea ' na Kumfuatafuata GENTAMYCINE hapa Jamvini. Unaona hunipendi au nakukwaza unashindwa nini ' Kubonyeza ' tu hapo ' Kitufe ' cha ' Ignore ' ili upumzike au uachane na Mimi?
Mwisho kabisa nitaomba jibu langu hili wasambazie pia na hao Wanafiki na Wapumbavu Wenzio waliokupa ' Likes ' za Kutosha kwa ' Uharo ' wako ulioundika. Huwa namjibu Mtu kulingana na anavyokuja na Siku zote Kauli Mbiu yangu hapa Jamvini huwa haibadiliki ambapo Wewe ukitishia tu Kujamba basi Mimi Nakunya kabisa na Siku zote huwa nampokea Mtu kulingana na vile anavyokuja Kwangu. Ukija Kwangu Kistaarabu utanipenda kwa 100% na ukija Kwangu Kihuni na Kiugomvi au Kiuchokozi basi nakuhakikishia kuwa utanichukia na kuichukia hii ' ID ' kwa 100% vile vile.
Nimemaliza.
Cc: atlas copco , Khaligraph Jordan , Philipo D. Ruzige , Thad , chakii , big_in , muafi
Sent from my Iphone using Tapatalk