Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Tunakufatilia kwakaribu sana kuna namna unahama tunasoma coordinates balaa
.na umeanza vya ingia kwenye mfumo ubadili mfumo we know that .ila we ni nabii eliya unamuachia mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajaribu ila Mara nyingi anavuruga kwa sababu yeye ina yake ni kutafuta attention tu kwa hiyo hakuna mafanikio yoyote
 
Mafanikio
Upungufu wa mateja

Vitambulisho vya wamachinga na vya walimu vimesaidia kiasi fulani wahusika.
Amewapa ujasiri wananchi watu wakionewa kidogo wanamtafuta Makonda awasaidie

Kaibua Vipaji na crossdongo kwa namba moja mpaka vikapata Ukuu wa wilaya refer Jerry muro, Ally Hapi etal

Katusaidia kutuletea IGP mahiri Mzee sirro baada ya kufanya nae kazi nyota ilingaa akaonekana akakamata usukani

Alisaidia huduma za afya baada ya kuleta meli ya matibabu ya kichina

Katatua migogoro ya Ardhi Mabwepande na kiasi fulani viunga vya jiji la dsmbaada ya ile kampeni yake aliyoshirikiana na Cloudsmedia. Wakati huo alikuwa na ukaribu na marehemu Jasiri rugemalira. Ila tuna msihi apasafishe Ardhi kinondoni bado kuna viswaswadu wanasumbua vibali n.k

Yasiyo mafanikio

Ametengeneza genge fulani hivi la wasanii wa bongo muvi, le mutuz na namna fulani ya kujipatia riziki.

Usafi na haswa uzoaji wa Takataka katika jiji hauridhishi kabisa japo aliongea kuhusu kupitia tenda zote za kampuni za kuzolea takataka lakini hali bado ni tete na hili linachnagiwa na hali ya dampo zetu pia lazima ziboreshwe kisasa. Maana sasa hivi mvua zikinyesha gari hazitoki dampo.

Ameshindwa au anashirikiana na hizi Kampuni zinazokusanya parking fee kwa mgongo wa Tarura kukusanya mapato mpaka misikitini ukipaki unadaiwa parking fee, hospitalini unadaiwa parking fee, ukipaki bar unakunywa soda utadaiwa parking fee ili hali mifereji na barabara bado ni mbovu.

Amefeli kutatua matatizo yanayolikumba shirika la UDARt linaloendesha mabasi ya mwendokasi

Kafeli kampeni ya kupima tezi dume

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natoa ushauri wa bure kwa RC wa Dar es Salaam, Mhe Paul Makonda. Tanzania sasa tuko katika kipindi kigumu cha kupambana na ugonjwa wa corona. Elekeza nguvu zako huko.

Achana na 'sideshows' za kukamata 'wazururaji. Jiji la DSM ndilo liko exposed kwa kupata mlipuko wa ugonjwa huu. Jaribu kujiuliza uta-'balance' vipi mrundikano wa wafanyabiashara Kariakoo ili kukidhi haja ya kuwapatia fursa ya kufanya kazi na kujipatia kipato kuwa upande mmoja na kuzuia maambukizi ya ugonjwa huu kwa upande mwingine kwa kuzingatia social distance?

Hii ndio changamoto ambayo unatakiwa kukabiliana nayo. Narudia tena achana na sideshows.
 
Kwa ujinga wake ndo atapigwa bani nchi nyingi tu advantage tuone hizo hela zake anazotuibia atazilia wapi.Mkiambiwa mtu asiyekuwa na elimu ni mzigo mnabisha!
 
Back
Top Bottom