Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

Majibu yako ni kama yafuatayo:

1. Mimi siyo ' Much Know ' au sijui ' Genius ' ila ambacho nina uhakika nacho tena kwa 100% kuwa I am ' Knowledgeable ' kwakuwa napenda kufuatilia mambo mengi, kujua Vitu vingi, Kusoma sana na ni Mdadisi mzuri wa Masuala. Jibiidishe sana kutumia muda wako mwingi kutafuta ' Maarifa ' mengi na huu muda unaoutumia kuonyesha Chuki zako / Kisununu Kwako kwa GENTAMYCINE utumie katika Kuimarisha ' Ubongo ' wako ambao una mapungufu makubwa ya ' Madini ' ya Akili / Fikra.

2. Kuhusu RC Makonda kuwepo hapa JF au hapana nadhani kwa hili Swali lako umeshathibitisha kuwa ni jinsi gani Baba yako ' Mbegu ' zake alizokufanya uzaliwe bora tu angezimwagia pembeni ili Taifa la Tanzania lisipate Hasara hii kubwa kwani haihitaji akili kubwa kujua kwamba hapa hapa JF RC Makonda ana ' ID ' yake na wapo wanaoijua na ukiachilia hiyo pia anayo nyingine kwa sasa na katika ' Followers ' wangu 67 hadi sasa nae yumo na haachi Kuifuatilia hii ' ID ' yangu GENTAMYCINE hivyo nilichokifanya kwa Kuanzisha huu ' Uzi ' nina uhakika nacho kwa 100%

Hata hivyo ukiachilia mbali hilo hapa JamiiForums kuna ' Members ' wengi sana ambao huwa wanawaanzishia ' threads ' mbalimbali ' Public Figures ' wa nchini lakini cha Kusikitisha sijawahi hata Siku moja Kukuona ukiwasema au ukiwakemea ila Nyege zako tu ' Mshindo ' zimekuelekeza ' ujipendekeze ' kwa GENTAMYCINE ili ukishajibizana nae basi na Wewe ujulikane kwakuwa hakuna asiyejua kuwa hii ' Brand ID ' na ' Talk of the Town ID ' hivyo unautafuta ' Umaarufu ' kupitia mgongo wangu na naamini kwa ile ' Dozi ' kali niliyokupa jana katika ' Uzi ' wangu wa Kuwatania ' Watani ' zangu Wahaya kwa Msiba mkubwa wa Marehemu Ruge na kwa majibu haya ya sasa katika huu ' Uzi ' basi tayari Nyota yako itakuwa imetengemaa na sasa nawe utajulikana na kufuatiliwa.

3. Hii hoja ya kwamba sijui GENTAMYCINE anajifanya ni Usalama wa Taifa ( TISS ) hujaanza kuisema au kuileta Wewe hapa na nimeshawaambieni ' Wapumbavu ' nyie wote kwamba kama kuna Mtu ambaye ana ' Ushahidi ' ulio ' very Vivid ' kwamba Mimi nimeshawahi Kujitangaza au 'Kujibaraguza ' hapa JamiiForums kuwa ni Usalama wa Taifa basi auweke hapa hadharani ili niumbuke na ikibidi hata Wahusika wenyewe ( Wana Usalama wa Taifa ) waanze Kunifuatilia na Kunichukulia hatua Kali na za Kinidhamu kwani najua uwezo huo wanao wakiamua hata sasa kwakuwa kwa Mafunzo yao ya Kutukuka hakuna ambacho wakikiamua watakishindwa.

4. Unaposema kuwa huwa nakuchosha kwa ' Threads ' zangu nadhani bado unaendelea Kudhihirisha ' how CERTIFIED FOOL ' you're kwani tokea nijiunge hapa JamiiForums na Kuanzisha Kwangu ' Threads ' sijawahi hata Siku moja Kumlazimisha Mtu ( Member ) yoyote awe anazifungua na haitotokea hata Siku moja Mimi kufanya hivyo ila ninachojua na ambacho pia nina uhakika nacho kwa 100% ni kwamba ' Mvuto ' wangu hapa Jamvini unatokana na haya maneno ' Kuntu ' yanayopatikana katika hii ' Signature ' yangu ya " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " bila kusahau aina ya Kipekee ya Uandishi wangu ambao umejawa na Vitu vingi ambavyo ni lazima tu vitakufanya ufungue na usome na nina uhakika hata Wewe ' Mpumbavu ' wa Dunia / Ulimwengu sababu hizo hizo ndizo zimekufanya kila mara upende ' Kumshobokea ' na Kumfuatafuata GENTAMYCINE hapa Jamvini. Unaona hunipendi au nakukwaza unashindwa nini ' Kubonyeza ' tu hapo ' Kitufe ' cha ' Ignore ' ili upumzike au uachane na Mimi?

Mwisho kabisa nitaomba jibu langu hili wasambazie pia na hao Wanafiki na Wapumbavu Wenzio waliokupa ' Likes ' za Kutosha kwa ' Uharo ' wako ulioundika. Huwa namjibu Mtu kulingana na anavyokuja na Siku zote Kauli Mbiu yangu hapa Jamvini huwa haibadiliki ambapo Wewe ukitishia tu Kujamba basi Mimi Nakunya kabisa na Siku zote huwa nampokea Mtu kulingana na vile anavyokuja Kwangu. Ukija Kwangu Kistaarabu utanipenda kwa 100% na ukija Kwangu Kihuni na Kiugomvi au Kiuchokozi basi nakuhakikishia kuwa utanichukia na kuichukia hii ' ID ' kwa 100% vile vile.

Nimemaliza.

Cc: atlas copco , Khaligraph Jordan , Philipo D. Ruzige , Thad , chakii , big_in , muafi
We mn.jinga acha ku tag watu bila sababu za msingi ,

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Kila siku tunakwambia una kiherehere Sana we Jamaa unaandika ili uonekane much know.kama ulitaka umpe huu ujumbe ungeonana naye.sasa umejuaje Kama yupo humu JF?sijaelewa unatuambia sisi tufanyaje wakati hatujui hata alichokifanya..wajinga wanaamini gentacymine Ni mwanausalama wa taifa kwa sababu tu mabandiko yake...najua utakuja TU kutema nyongo kwenye hi comment yangu kwa upupu uliotukuka.unatuchosha akili kwa lengo gani
Ila kuongea ukweli...tena kwa faida ya Bashite wako
 
Najua unapenda sana Kushughulika na kuhakikisha kuwa Jambo fulani linatendeka na linaenda unavyotaka Wewe ila kuna maeneo mengine unatakiwa upime au ujipime Kwanza hasa ukizingatia Usalama wako na jinsi Jamii Kubwa ya Watu hasa ' Maadui ' zako ulionao hapa Mkoani Dar es Salaam.

Binafsi nilishangaa sana ile Jana tena ukiwa barabarani na kuna Watu wengi wa kila aina ' ukijiachia ' kwa kutoka katika Gari yako na Kujumuika nao huku ukizunguka huku na kule pasipo na hata Wewe kuwa na jicho la pili kwa ' Usalama ' wako.

Najua unalindwa tena pengine kuliko hata wanavyolindwa ' VIP's ' wengine nchini ila binafsi nadhani kwa hali iliyopo na hasa ' Chuki ' za Watu dhidi yako ( nikimaanisha Maadui ) zako uliowatengeneza hukupashwa ' Kujiachia ' vile kwani lolote lingeweza kutokea Kwako na pengine leo tungekuwa na habari nyingine mbaya.

Mpaka sasa nawaza RC Makonda unajiamini vipi hadi unapenda ' Kujichanganya ' na Watu tena wale ' Changanyikeni Clan ' ambamo ndani yao humo kuna ambao wanakupenda na wasiokupenda pengine kama nia mbaya ingekuwepo dhidi yako jana basi ingekuwa rahisi Kwao ' Kutekeleza ' jambo lao.

Ushauri wangu Kwako Siku zingine kabla ya kwenda mahala hebu jaribu kupima ' Upepo ' Kwanza na ' Kutafakari ' kwa marefu na mapana hasa hasa ukizingatia suala zima la ' Usalama ' wako. Ila ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE jana ile nipo nawe kama sehemu ya ' Ulinzi ' wako kamwe nisingekuruhusu uwe unatokatoka vile katika Gari yako na kuja ' Kujichanganya ' na Watu ambao Kwanza huwajui vyema, akili zao wengine wanazijua wenyewe na wenye kuwa tayari pia kufanya lolote na kuja ' Kujutia ' baadae huku pengine Wewe ukiwa ' Mwaisela ' au ' ICU ' au umeshaungana na ' Mtani ' wangu katika ' Identity ' mpya ya Marehemu fulani.

Acha kujiamini sana na kuwa makini tafadhali. Yangu ni haya tu kwa leo na ukiona nakuambia hivi jua nakupenda na nakutakia maisha marefu na mema pia. Bado wale ' Maadui ' zako hawajalala usingizi na pia huwezi jua sasa wanajipangaje dhidi yako hivyo nawe pia yakupasha muda mwingi kuwa makini na ' Kujilinda ' huku pia ukipunguza sana kupenda ' Kuonekana ' mbele mbele. Kwani ile jana ambapo nawe ulikuwa ' Msafarani ' ungekuwa tu unatoa ' Maelekezo ' wa Watendaji wako hasa wa Kiusalama / Kiitifaki waliokuwepo pale au uliokuwa nao wasingefanya kile ulichokuwa unataka Kifanyike?

Yafanyie Kazi haya maelezo yangu ila ukiona hayakufai basi niachie tu mwenyewe.

Nawasilisha.
.....bahati yake!!
 
Ka edit mwanzo haikuwa hivyo hakuweka maelezo yote

Acha kutaka Kujifanya unanijua sana kwani huwa nikianzisha ' Uzi ' nahakikisha umekamilika ndipo nautuma. Narudia tena acha kuwa ' Mpumbavu ' na ninachoona sasa ' Unalazimisha ' labda niwe Mumeo au ' Mtambaliziaji ' wako kwani naona tokea jana umekuwa ni Mtu wa ' Kuwashwawashwa ' mno nami. Endelea ' Kushoboka ' nami nikupe ' dozi ' ya mwisho na Kali ambayo nina uhakika itakufanya uichukie hii ' ID ' daima milele amina.
 
Hukuangalia vizuri nyuma alikua na body guard

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa lile ' Nyomi ' la pale lolote lingeweza kutokea na hata huyo ' Bodyguard ' wake angeweza Kuzidiwa. Awe makini kwani hawezi jua ' Adui ' yupo wapi, atakuja lini, Saa ngapi na atapitia wapi. Mnaweza kudhani labda nimeandika tu ' for the sake of ' Kuandika ila naamini wenye Kunielewa vyema na wenye Umakini mkubwa wamenielewa na hata Yeye pia ninaamini atayafanyia Kazi haya maelezo yangu. Ni hayo tu.
 
Makonda hana maadui wa kuhatarisha maisha yake.....kujichanganya Ni hulka na silka ya mtanzania tumeona kwa Mhe Dr Kikwete na hata Rais Magufuli pamoja na ulinzi wore lakini huwa anajichanganya kwa wananchi.
 
Acha hizo basi Mkuu sawa? Siko huko na Mimi ni Mtu wa kawaida mno na sana ila nimebarikiwa tu na Mwenyezi Mungu kuwa na Jicho la ' Ndege Tai ' la kuona mbali, kuhisi jambo na kutoa Ushauri mzuri ambao kama Mtu ataufuata na Kuuzingatia basi kwa 75% hadi 99% atafaidika nao kwa kiasi kikubwa.
Bashite ni kati ya viongozi uchwara wenye "bahati" tu ya kuwa madarakani kwasababu ya upendeleo na kamwe si kiongozi kioo, ni mnafiki mpaka juu na pia ni kilaza aliyeshindwa kuuthibitishia umma wa watanzania kuhusu ukweli wa elimu yake. Unamtetea kwa jambo gani? Nyie ndio mnaorudisha nyuma nchi hii kwa kukumbatia chama kilichopitwa na wakati na chenye kuleta umaskini tangu enzi na enzi.
 
Back
Top Bottom