Ushauri: Long Distance marriage

Ushauri: Long Distance marriage

Dada, nimesoma kwa makini ulichoandika ni dhahiri kuwa unapatwa na sononeko la moyo juu ya hili suala.
Nina maswali machache kwako ili niweze kutoa ushauri unaofaa
1. Wewe na mtu wako mmeshajadili hili?
2. Kuna mahali umeandika '' bado natafakari kwa kuwa sijui niamue kipi'' ? Je unayo options ngapi katika maamuzi juu ya swala hili?
3. Kuna mahali umeandika ''I always pray nipate ndoa ambayo tutakaa pamoja sehemu moja sio hizo za mbalimbali'', unaamini ndoa bora ni ile ya kukaa pamoja? Kwa nini usiendelee kuomba ili jibu lipatikane? Unahisi huyo unayemuomba kazi yake ni kukupatia unachohitaji tu, huoni haja ya kuruhusu mapenzi yake yatimie kwa yeye ana uwezo wa kujua kitakachotokea kesho na miaka ijayo.
4. Je yupo mwanaume mwingine aliyeonyesha nia ya kukuoa ambaye mnaweza kuishi karibu?
 
Mwanza dodoma ni karibu mno we hujui tu
 
Kama utaolewa na jamaa utapiga kazi chini utaenda kutafuta ingine mwanza huko nilishaona wadada wawili wanafanya hivyo....
 
PM me so that we can have marriage coz npo Dom na natafuta mke
 
Back
Top Bottom