data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,884
29..!!!!!?? anyway. Wengine mnachelewa kukomaa akili. Subiri mpaka 35 ..labda issue za distance wont matter no more.I 'm old enough 29yrs
29..!!!!!?? anyway. Wengine mnachelewa kukomaa akili. Subiri mpaka 35 ..labda issue za distance wont matter no more.I 'm old enough 29yrs
So unaamini muda wako bado?!Yes, kila mtu amepangiwa muda wa kuoa na kuolewa kwa wakati wake na Mungu, unaweza ukapanga ratiba zako zisikubali
I wish ningewahi zaidi but unajua no way mwanamke unaweza kulazimisha kuolewa,what if hakuna mtu anakwambia kukuoa, au wanaotaka kukuoa unaona hutaweza kuishi nao! so it is beyond my ability only God can make it happen ! kwaakili na ujuzi wetu hatuwezi Mungu peke yake ndiye anweza.So unaamini muda wako bado?!
I cn c unataka kuolewa nw......this dude mmekuwa pa1 kwa muda gani?!I wish ningewahi zaidi but unajua no way mwanamke unaweza kulazimisha kuolewa,what if hakuna mtu anakwambia kukuoa, au wanaotaka kukuoa unaona hutaweza kuishi nao! so it is beyond my ability only God can make it happen ! kwaakili na ujuzi wetu hatuwezi Mungu peke yake ndiye anweza.
miaka miwili sasaI cn c unataka kuolewa nw......this dude mmekuwa pa1 kwa muda gani?!
N he wants to marry u?!miaka miwili sasa
you are very wrong! ndoa sio fasheni ni agano na kuna mambo mengi humo ndani, na pia mimi nilikuwa natafuta kazi kwanza familia niliyotoka ni ya kawaida my parents wamenisomesha they are old now wamestaafu !niliona ni muhimu nipate kazi kwanza mengine yatufuata nitakuwa comfortable na huyo mwenzangu sitamtwisha mzigo mzito! na nitaamua kuwa na mtu ninyempenda kweli sio kwaajili ya fedha zake tu!29..!!!!!?? anyway. Wengine mnachelewa kukomaa akili. Subiri mpaka 35 ..labda issue za distance wont matter no more.
hujanielewa..... Uwe na usiku mwema.you are very wrong! ndoa sio fasheni ni agano na kuna mambo mengi humo ndani, na pia mimi nilikuwa natafuta kazi kwanza familia niliyotoka ni ya kawaida my parents wamenisomesha they are old now wamestaafu !niliona ni muhimu nipate kazi kwanza mengine yatufuata nitakuwa comfortable na huyo mwenzangu sitamtwisha mzigo mzito! na nitaamua kuwa na mtu ninyempenda kweli sio kwaajili ya fedha zake tu!
Yes this year ndio anataka tuanze process, hata yeye hapendi hilo eneo analofanyia kazi anatamani kweli kubadilisha kaziN he wants to marry u?!
miaka miwili sasa
pamoja kwamba Mungu anapanga ila sidhani kama mtu akijifungia chumbani na kumtukana kila mwanaume basi muda wake ukifika ataolewaYes, kila mtu amepangiwa muda wa kuoa na kuolewa kwa wakati wake na Mungu, unaweza ukapanga ratiba zako zisikubali