Ushauri: Long Distance marriage

Ushauri: Long Distance marriage

hizi long distance marriage ni shida asee!, mimi mkewng kaenda kusoma mwanza, now ndo yuko mwaka wa pili na maisha ya chuo ninavoyafahamu kuchapiwa dakika tu! na nikimcheki wife bado mteke, nikaamu kumbandika mimba aendenayo huko chuo moyowangu angalau umetulia sasa.

ila dada nakushauri usije acha kazi na kama mnapendana owaneni tu.
Hahahahahaha

Mkuu hongera sana
 
hakuna ndoa ya mbalimbali mtatiana kwa WhatsApp au?!
 
Chagua farasi alie sahihi atakae kufikisha pahala sahihi kwa usalama mkubwa
 
Ukianza kuwaza vikwazo hutoolewa...vikwazo kila siku vipogo tu..wewe olewa mkabidhi Mungu ndoa yako..kila kitu kitajiset tu...
Kwani unashindwa nini wewe au yeye kutembeleana every weekend wako kibao wanandoa wanaishi mbali but wanakubali kulinda ndoa kwa gharama yoyote..dodoma na mwanza kuna umbali gn..unless hutaki kuolewa unatafuta visababu
 
Kwanza mpaka sasa mpo mbali mbali lakini mnaaminiana sio?? Sasa kitakachoondoa huo uaminifu mkioana ni kipi tena!! Mnavyoishi sasa ndo mtaishi hivyo hivyo mkishaoana huku mnatafuta utaratibu wa uhamisho wa mmoja wenu.
 
Angalia ni kipi kina manufaa zaid kwako kwa sasa,, ndoa na huyo umpendae au kazi??, cha muhimu ni kukaa na kujadiliana na mwenzako.
Ila nakushauri uolewe na umfuate mumeo ili mjenge familia yenu maana wakati ndo huu, mambo ya kazi yapo tu na utapata tu amini katika hilo,, muombe Mungu atakufanyia wepesi kwenye mambo yako.. Ndoa itakufanya uheshimike zaidi dada angu
 
Yes, kila mtu amepangiwa muda wa kuoa na kuolewa kwa wakati wake na Mungu, unaweza ukapanga ratiba zako zisikubali
Ratiba ya Mungu ndio umekubalika sasa umempata wa kukuoa unaanza kumbwela, kwani umeambiwa hakuna mafanikio nje ya ajira? kubali kuolewa ukiwa kazini then kusanya mtaji wa ujasiriamali wa aina yeyeto halafu hamia mwanza full stop
 
hizi long distance marriage ni shida asee!, mimi mkewng kaenda kusoma mwanza, now ndo yuko mwaka wa pili na maisha ya chuo ninavoyafahamu kuchapiwa dakika tu! na nikimcheki wife bado mteke, nikaamu kumbandika mimba aendenayo huko chuo moyowangu angalau umetulia sasa.

ila dada nakushauri usije acha kazi na kama mnapendana owaneni tu.

kama hajatulia haisaidii? jamaa yangu mmoja alikuwa anaitwa akaweke mbolea ili mtoto akue vizuri... so it dependssss...
 
ndoa ni risk taking sometime!! kwa ulimwengu wa sasa Maisha ni kusaidiana, usiache kazi kwa ajili ya ndoa, unless uwe umefanya alternatives ya kufungua biashara au kazi nyingine. maisha yanabadilika so Nina amin mkiaminiana mnaweza kufunga hyo ndoa bila shda na kila mtu akiendelea na kazi yake. suala LA uaminifu halina distance, hebu fikiria mmekuwa pamoja for two years, INA maana mmweza kuaminiana bila shda, na hata skitoka huko uskute mlikuwa mna do bla hat kinga, so kila kitu kinawezekana, na ukwel, ndoa nying za sasa zko ivyo.. hata ukikaa nsye dom au mwz still huwez kumchunga, na ndoa ni zaid ya Ku du bna.
 
hizi long distance marriage ni shida asee!, mimi mkewng kaenda kusoma mwanza, now ndo yuko mwaka wa pili na maisha ya chuo ninavoyafahamu kuchapiwa dakika tu! na nikimcheki wife bado mteke, nikaamu kumbandika mimba aendenayo huko chuo moyowangu angalau umetulia sasa.

ila dada nakushauri usije acha kazi na kama mnapendana owaneni tu.
Hapo huja'solve kitu mkuu, wadau watachapa hivyo hivyo...mind you many women become very horny when they are pregnant!
 
OLEWA ENDELEA NA KAZI,HUKU UKITAFUTA KAZI ALIPO MMEO.Distance marriage mnaishi,mkishindwa si mnapena talaka tu;olewa tu ila kama mnapendana kwa dhati ,distance is nothing at all
we dada itakua ni mtu wa mara..lol
 
Habari wakuu,

Mimi ni mdada natamani kuingia katika ndoa hivi karibuni,nina mtu wangu lakini hatujatambulishana bado kwasababu bado natafakari niamue kipi. Kinachonisumbua ni kuwa tunakaa mikoa tofauti yeye anafanya kazi huko Mwanza na mimi nipo Dodoma.

Kwa namna kazi yake ilivyo hawezi kuhama na kuja nilipo mimi na mimi pia ni hivyo hivyo. Sasa nikitafakari hali hii nashindwa kufanya maamuzi, kiukweli napenda sana na I always pray nipate ndoa ambayo tutakaa pamoja sehemu moja sio hizo za mbalimbali, pia nikifikiria na changamoto ya uaminifu katika hizi ndoa za siku hizi napata hofu na vile wanaume wenyewe ndio shetani huwa anawapitia sana! Akili yangu inakosa utulivu kabisa.

Nikikubali kuolewa na huyu mwanume maana yake tutaishi mbalimbali sijui kwa muda gani, kuanzia ndoa ikiwa changa hadi muda usiojulikana.

Naomba ushauri ndugu zangu ndani ya nafsi yangu nikifikiria kukaa mbalimbali nakosa amani kabisa!
Hiyo ndoa haifai mtaishia kuwa na nyumba ndogo na mwisho mtauwana bure,tafuta mwingine wa hapo Dom
 
Habari wakuu,

Mimi ni mdada natamani kuingia katika ndoa hivi karibuni,nina mtu wangu lakini hatujatambulishana bado kwasababu bado natafakari niamue kipi. Kinachonisumbua ni kuwa tunakaa mikoa tofauti yeye anafanya kazi huko Mwanza na mimi nipo Dodoma.

Kwa namna kazi yake ilivyo hawezi kuhama na kuja nilipo mimi na mimi pia ni hivyo hivyo. Sasa nikitafakari hali hii nashindwa kufanya maamuzi, kiukweli napenda sana na I always pray nipate ndoa ambayo tutakaa pamoja sehemu moja sio hizo za mbalimbali, pia nikifikiria na changamoto ya uaminifu katika hizi ndoa za siku hizi napata hofu na vile wanaume wenyewe ndio shetani huwa anawapitia sana! Akili yangu inakosa utulivu kabisa.

Nikikubali kuolewa na huyu mwanume maana yake tutaishi mbalimbali sijui kwa muda gani, kuanzia ndoa ikiwa changa hadi muda usiojulikana.

Naomba ushauri ndugu zangu ndani ya nafsi yangu nikifikiria kukaa mbalimbali nakosa amani kabisa!
Umbali sio shida kubwa ya kuacha kuolewa. Utapata upweke lkn mnaweza kuongea asubuhi na usiku KILA SIKU halaf angalau mara moja kwa mwezi mmoja wk end anasafiri kwenda kwa mwenzake. Wkt mwingine kuomba ruhusa ya cku chache mnachukua likizo ya mwaka kwa kupishana kwa namna hiyo hamtakaa muda mrefu bila kuonana. Mimi baada ya miaka miwili na nusu ya ndoa mume wangu akaajiriwa mkoani. Tumeishi hivo kwa miaka 12. Mawasiliano ni kitu cha msingi na wakati mwingine umbali unaimarisha penzi coz mnatamaniana cku zote. Mtu akitaka kuchepuka hata mfanye kazi ofc moja atachepuka tu... Olewa dada kuchepuka huwezi tabiri. Omba Mungu akusimamie.
 
29..!!!!!?? anyway. Wengine mnachelewa kukomaa akili. Subiri mpaka 35 ..labda issue za distance wont matter no more.
Ha Haaaa....35 mwanza na dar utaona kama sawa mbezi na ubungo...
 
Kusema ukweli. kuwa na mpenzi, mume/mke ambae uko mbali nae, ni shida, matatizo, na majaribu mazito

Coz huko aliko atakuwa na wake, na wewe hapo utakapokuwa utakuwa na wako mwingine tena. na kusema eti anakupenda sana so huko aliko hakusaliti ni kujifariji tuu, but kusalitiana ni 100%

Ndoa ni mwili mmoja manake kuishi pamoja. sasa ubavu mmoja uko Dar mwingine uko Arusha, Mwanza au Mbeya hiyo sio tena ni ndoa ni ndoana
 
Back
Top Bottom