Ukiacha utakuwa mbeba zege?ntaacha cuz naamini ushauri wa watu ck zote
Wee nenda kasome...Fursa hiyo utajifunza mengisana"iran ni nchi yenye ukomaavu na wavumilivu ktk kujitegemea"Habari zenu wakuu!
Mimi ni mtanzania niliefadhiliwa kwenda kusoma Iran, program DOCTOR OF MEDICINE.
Kwa nyie mnavyoijua Iran,mungenishauri niende au niikache mana sina aidia yoyote kuhusu Iran.
Kumbe unataka upokelewe kama mfalmenashukuru kaka kwa ushauri wako,wamedai ukifika kule kuna nyumba ambazo upatiwa wanafunzi
Usiwe na Hofu ww nenda kapate elimu sema tu usiwe bize na hizi imani iran ni Islamic state na we umesema ni mkiristo kaishi tu kwa kufata misingi ya kislamu ili kujiweka safe kwani unajua elimu unayopata ni Boraapa bongo nasoma BPE(BIO PROCESSING AND POST HARVESTING ENGINEERING)
Umetumia source gani kupata status ya hicho chuo? Kama source uliyotumia ni ile inayopima ubora wa vyuo by academic performance basi fahamu zari kama hilo haliji mara mbili! Remember, by academic performance from reliable sources hakna chuo hata KIMOJA kwa Afrika kinagusa nafasi ya 200+! The best uninversity kwa Afrika ni University of Cape Town na ubora wake duniani by academic performance ni 500+!!!
hahaha apana kaka vyuo vng nje uwa wanadistribute nyumba kw wanafunz ambazo mnaweza fanya costs sharing na mwenzako au peke ako lkn m 7bu n scholarship ctarpia not means kwmb nataka nipokelewe km mfalmeKumbe unataka upokelewe kama mfalme
sawa kaka nmekuelewaWee nenda kasome...Fursa hiyo utajifunza mengisana"iran ni nchi yenye ukomaavu na wavumilivu ktk kujitegemea"
Achana na mawazo mgando na kuuliza watu ovyo!! they wont help you... kuna maelfu wana isubiria hiyo chance!!
Kama shida ni elimu kasome usiende kutafuta yako hukohahaha apana kaka vyuo vng nje uwa wanadistribute nyumba kw wanafunz ambazo mnaweza fanya costs sharing na mwenzako au peke ako lkn m 7bu n scholarship ctarpia not means kwmb nataka nipokelewe km mfalme
anhaa nmekupata kaka kwaiyo iran ni islamic state?kumbe nikufwata sheria tu itabid apo na dini kubadili il kuendana nao au unaweza ukawa ni Christian naukafata tratibu zote bila kupata shida yoyote?
so conscious bro nashukuruMkuu acha uoga bana watu tumeishi kwenye nchi zenye imani tofauti na zetu na tumetusua maisha we nenda kapige kitabu chako umalize uje home tusongeshe maendeleo. Dini yako unayo kifuani na moyoni mwako.
ukifika iran piga shule fanya yale mazuri ambayo hayawezi kukufanya uvunje sheria zao za nchi na chuoni kwako.
Muombe muumba wako akuongoze vyema ufanikiwe.
so conscious bro nashukuruMkuu acha uoga bana watu tumeishi kwenye nchi zenye imani tofauti na zetu na tumetusua maisha we nenda kapige kitabu chako umalize uje home tusongeshe maendeleo. Dini yako unayo kifuani na moyoni mwako.
ukifika iran piga shule fanya yale mazuri ambayo hayawezi kukufanya uvunje sheria zao za nchi na chuoni kwako.
Muombe muumba wako akuongoze vyema ufanikiwe.
Anyway, kv sikifahamu chuo chako labda niseme kitu kimoja. Mwaka jana nilifanya utafiti kuhusu credibility and acceptability ya institutions zinazofanya university ranking duniani... moja ya hizo institutions ipo hiyo webometric; nayo inakuwa referenced mara kwa mara. Ingekuwa ni ranking ya 4iuc ningekuambia achana nayo coz' ingawaje wao wenyewe wanasema wazi kwamba ranking yao sio by academic performance, lakini Wabongo ndio ranking tunayopenda kuitumia kv ndio the only ranking inayoweka vyuo vyetu juu!!!! Nilikuja kushituka siku ambayo hata Profesa Mkandara alii-reference ranking yao 4icu... nikajua, siasa at work!nmetumia site hi apa,www.webometrics.info kaka
so conscious chige,u r gwudy at all,nnekupata hakikaAnyway, kv sikifahamu chuo chako labda niseme kitu kimoja. Mwaka jana nilifanya utafiti kuhusu credibility and acceptability ya institutions zinazofanya university ranking duniani... moja ya hizo institutions ipo hiyo webometric; nayo inakuwa referenced mara kwa mara. Ingekuwa ni ranking ya 4iuc ningekuambia achana nayo coz' ingawaje wao wenyewe wanasema wazi kwamba ranking yao sio by academic performance, lakini Wabongo ndio ranking tunayopenda kuitumia kv ndio the only ranking inayoweka vyuo vyetu juu!!!! Nilikuja kushituka siku ambayo hata Profesa Mkandara alii-reference ranking yao 4icu... nikajua, siasa at work!
Hata hivyo, ranking zinazoheshimika sana duniani na kuwa hata referenced na watu wenye dunia yao ni Times Higher Education and Shanghai Ranking! Itoshe tu kusema kwamba, kwa kutumia Times Higher Education hakuna chuo chochote cha Tanzania kinachotokea hata among 1000 best universities duniani... HAKUNA! Lakini wakati Tanzania hatuna ubavu wa kuingiza japo chuo kikuu kimoja kwenye list, ranking ambayo ilitoka mwaka jana Iran iliingiza vyuo vikuu 8 among Top 800 Universities duniani! Na kv chuo chako kimetokeza kwenye webometric, basi nacho kitakuwa ni moja ya hivyo vyuo. Hivyo basi, hiyo peke yake unaweza kupata picha ya kiwango cha elimu kati ya Tanzania na Iran... they are very far compared na sisi!!! Unaweza ku-opt kuachana nao kwa sababu zingine lakini sio ubora wa elimu!