Ushauri: Kwenda kusoma Iran

Ushauri: Kwenda kusoma Iran

Udini udini ni Tatizo kule... ila raia wengi ni wazembe wazembe... ndio maana hutawaliwa kirahisi.. Kwenye Sayansi wanajitahidi hata ukiwa na cv ya kule hukosi kazi... ila lazima ujifunze wizi wa kimasomo... unachukua majarida ya kisayansi unageuza geuza na wewe unaitoa kivyako ndio mfumo halisi wa Iran wanatumia ule mfumo wa kale wa Japan na China.. And kitu kikubwa kuhusu Iran Hawaaminiki hii ni sifa yao kuu Duniani... tokea Enzi na Enzi
kaka mlaleo nipenda ushauri wako kama uzid kunielezea about iran
 
mbali na udini,cuz dini waweza badili tu ili usome kwa aman,maswala ya usalama na academic affairs iran iko vip?
Dah hiyo Dini kuishika ni ngumu... Usiku unalala unawaza kuamka saa kumi na moja uswali... anyway pengine utaweza.. nenda ukajifunze lugha fresh na ufuate kilichokupeleka Dawa za Kulevya zipo nyingi sana kule ukipata marafiki kuwa makini maana hawakawii kukuchoma au kukuchomokea kesi na kesi za kule hukumu ni Kifo tu hamna namna.. USISAHAU ndo't trush persian kwa asilimia mia especial kukiwa na Deal mwisho wa siku utaondoka kapa....

Mji wa Teheran unawakazi wengi sana na magari pia anga lao limeaanza kuwa na giza kwa moshi wa magari kwa sana.. Utaenjoy kiasi chako ila Dini imeshika sana hivyo starehe ni chache lakini haiwezi kukufanya ushindwe kuenjoy nje ni nje tu
 
bonge ya ushauri brada,nimekusoma vilivyo lecture limeeleweka kaka
 
kuna sharia law kule ,ukienda usijaribu tongoza watoto wa kiarabu unaweza hukumiwa kifo au kifungo jela.Ila ni chi ambayo ipo poa japo vyombo vya habari vya kimagharibi siku zote wana ripoti habari hasi tu.Mwezi wa pili wanafanya uchaguzi mkuu jaribu kufuatilia habari zake kwenye mtandao.All the best
 
unayosema kaka niyakwel cuz nmesoma rules na regulations za chuo moja wapo inasema haurusiwi kukaa na mtu wajinsia tofauti mkiwa mmejitenga na wenzenu mkiwa mmeshkana Mikona,mnapeana hugs au mnapeana kisses,hatua za kinizam znachukulwa
kuna sharia law kule ,ukienda usijaribu tongoza watoto wa kiarabu unaweza hukumiwa kifo au kifungo jela.Ila ni chi ambayo ipo poa japo vyombo vya habari vya kimagharibi siku zote wana ripoti habari hasi tu.Mwezi wa pili wanafanya uchaguzi mkuu jaribu kufuatilia habari zake kwenye mtandao.All the best
 
nakushari usiende,...
utaxplode,..
alaf wale waarabu nahisi wanakaubaguz sana
 
Hapana mkuu simaanishi hivyo
Iran na Iraq kuna vitu vinafanana na kuna tofauti nyingi tu
Binafsi tu psychological mazingira hua hayanivutii

Kweli Medicine ya Iran ni nzuri sana fanya tafiti ya mazingira Google chuo unachoenda tafuta watu waliosoma hapo wakuelezee Pima halafu sikiliza moyo wako tu ukipapenda nenda kasome mambo mengine baadaye!
Iran na Iraq hawafanani hata kidogo kwanza; ukiacha kwamba wote ni Waislamu; baadhi ya tofauti kubwa kabisa ni hizi:

-Iran ni very stable country while Iraq ni very volatile
-Iraq ni Waarabu na Iran ni Waajemi!
-Iraq isn't democratic while Iran is one of the democratic state in middle east together with Israel and Lebanon hata kama Supreme Leader ni kweli ana nguvu sana!
-Ingawaje Iran na Israel ni maadui wakubwa, lakini katiba ya Iran ina kiti kimoja cha Myahudi na hivyo kuthibitisha u-demokrasia wake!
-Pamoja na uvunjivu wa amani middle east, bado tangu kwisha kwa vita vya Iraq na Iran 1988 amani ya Iran haujavurugika tena kiasi cha kutisha hadi mtu aache kutimiza ndoto zake!
-Iran wana maendeleo makubwa sana kisayansi na kitabibu kulko nchi nyingi za middle east!

Iran ni nchi ngumu ikiwa utataka uishi kama upo nchi za magharibi na huku kwetu... kwamba, unaenda bar na demu wako kisha mnaanza kulana denda! Sasa mambo kama hayo na mwanafunzi sijui wapi na wapi!

So, biarakeyz , kama umeshanguza status ya chuo husika na kuridhika ni one of best universities kwa medicine; basi usiache hiyo fursa!
 
so kwa kesi ya middle east sio iran tu,ata ingekua saudi Arabia pia lazma doubt za usalamausalama zngejengwa kwa mana iyo
Saudi Arabia haipo stable compared to Iran ndugu! Kwanza magaidi ambao ugomvi wao mkubwa ilikuwa ni dhidi ya West; US in particular kama walivyokuwa Al Qaeda; hawa walikuwa na bifu sana na Saudia hadi Saudi Arabia kufikia kumvua uraia Osama Bin Laden! Chanzo cha bifu lao ni Saudia kutumika sana na US! Hawa magaidi wanaoongozwa na itikadi za kimadhehebu kama walivyo ISIS; jeuri zao zinaishia kwenye unstable states kama ilivyo Iraq au Syria! Hawana ubavu wa kupenya kwenye nchi iliyo moja kama Iran manake wanafahamu watakavyofyekwa! Kama issue ni usalama, kwa upande wa Mashariki ya Kati Iran ni salama kuliko hata Israel!!!
 
Iran na Iraq hawafanani hata kidogo kwanza; ukiacha kwamba wote ni Waislamu; baadhi ya tofauti kubwa kabisa ni hizi:

-Iran ni very stable country while Iraq ni very volatile
-Iraq ni Waarabu na Iran ni Waajemi!
-Iraq isn't democratic while Iran is one of the democratic state in middle east together with Israel and Lebanon hata kama Supreme Leader ni kweli ana nguvu sana!
-Ingawaje Iran na Israel ni maadui wakubwa, lakini katiba ya Iran ina kiti kimoja cha Myahudi na hivyo kuthibitisha u-demokrasia wake!
-Pamoja na uvunjivu wa amani middle east, bado tangu kwisha kwa vita vya Iraq na Iran 1988 amani ya Iran haujavurugika tena kiasi cha kutisha hadi mtu aache kutimiza ndoto zake!
-Iran wana maendeleo makubwa sana kisayansi na kitabibu kulko nchi nyingi za middle east!

Iran ni nchi ngumu ikiwa utataka uishi kama upo nchi za magharibi na huku kwetu... kwamba, unaenda bar na demu wako kisha mnaanza kulana denda! Sasa mambo kama hayo na mwanafunzi sijui wapi na wapi!

So, biarakeyz , kama umeshanguza status ya chuo husika na kuridhika ni one of best universities kwa medicine; basi usiache hiyo fursa!
nashukuru kaka chibge kwa ushauri wako status ya chuo nmechunguza kwa iran ktk rank ni cha 2,ktk rank ya worldwide ni km cha 200 na kitu
 
Saudi Arabia haipo stable compared to Iran ndugu! Kwanza magaidi ambao ugomvi wao mkubwa ilikuwa ni dhidi ya West; US in particular kama walivyokuwa Al Qaeda; hawa walikuwa na bifu sana na Saudia hadi Saudi Arabia kufikia kumvua uraia Osama Bin Laden! Chanzo cha bifu lao ni Saudia kutumika sana na US! Hawa magaidi wanaoongozwa na itikadi za kimadhehebu kama walivyo ISIS; jeuri zao zinaishia kwenye unstable states kama ilivyo Iraq au Syria! Hawana ubavu wa kupenya kwenye nchi iliyo moja kama Iran manake wanafahamu watakavyofyekwa! Kama issue ni usalama, kwa upande wa Mashariki ya Kati Iran ni salama kuliko hata Israel!!!
kaka chige nmekusoma fresh
 
nashukuru kaka chibge kwa ushauri wako status ya chuo nmechunguza kwa iran ktk rank ni cha 2,ktk rank ya worldwide ni km cha 200 na kitu
Umetumia source gani kupata status ya hicho chuo? Kama source uliyotumia ni ile inayopima ubora wa vyuo by academic performance basi fahamu zari kama hilo haliji mara mbili! Remember, by academic performance from reliable sources hakna chuo hata KIMOJA kwa Afrika kinagusa nafasi ya 200+! The best uninversity kwa Afrika ni University of Cape Town na ubora wake duniani by academic performance ni 500+!!!
 
Back
Top Bottom