Ushauri kwa yule binti anaetafuta kazi

Ushauri kwa yule binti anaetafuta kazi

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
sasa we binti unatafuta kazi tunakuambia kazi za ndani unakataa wakati unasema kazi yeyote? be serious mbona mmi nilivomaliza form four 2002 nilikosa ada ya kuendelea kutokana na hali ya family yangu na nilikua na div 4 point 26 na credit 3 nilifanya kazi za ndani na mshahara ulikua 35,000/ mpaka mwaka 2004 nilikusanya fedha ukitoa matumizi madogomadogo nilikua na laki 480,000/= nikaamua kuacha nikaanza kozi ya full secretarial na nilikua najilipa mwenyewe kwa muda wa mwaka mmoja, ada kwa mwezi ilikua 25,000/= mwaka 2005-2006 kwenye chuo kinachoitwa MOMESCO hapa Arusha,.nilimaliza 2006 mwezi wa nane so nikaanza kuapply kazi sehemu mbalimbali hasa viwandani na kupita kuomba kwenye stationaries mwezi wa wa 12, 2006 nikapata kazi katika kampuni inayoitwa darsh ipo themi wanaoishi arusha wanapafahamu mshahara ulikua 90,000/= pamoja na manyanyaso ya wahindi nilivumilia nikafanya nikiwa na lengo la kuendelea kusoma nikawa najiwekea akiba wakati huo naishi kwa yule mama nliekua nafanya kazi kwake kwa muda wote huo alikua kama ndugu yangu, mpaka mwezi wa 12, 2007 nilikua nimeshajikusanyia kama laki 7 nikitoa na matumizi madogomadogo mengi yakiwa ni nauli tu maana msosi ulikuwepo ofisini na kulala ilikua bure nilikua bahili sana kwani nilijua ni nin ninachofanya.

Kuna binamu yangu anaishi dar kipindi cha nyuma nilimwombaga msaada akakaa kimya ila nilivyompa wazo la kusoma form 5 akaahidi kunisaidia akaniita dar, nikaenda nikiwa na lak 7 kwenye account nikijisemea akinizingua nitatafuta shule nipige mwenyewe,. akanipeleka boko basihaya kulikua na kituo chenye program ya QT na five na six kwa mwaka mmoja , nikapiga pale kuanzia february 2008 nikichukua HKL hadi february 2009 nikafanya mtihani wa form six, na kufaulu kwa div 2.10 nikachaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma october 2009 bachelor of arts in Sociology bodi nao hawakunisahau nikapata 90% ya mkopo, kwa raha zangu nikaweka mikono juu nikatupa shida chini nikaanza kuburudika na boom huku baadhi ya ndugu waliokua wananidharau hawakuamini na wengi wao walikua wanaomba tu account namba yangu kiukweli nilitoka kimaisha kwani first year tu account yangu ilikua ina zaidi ya mil 2.5 ondoa boom.

Nikafanikiwa kugraduate nov 2012 nikarud arusha napiga tu shughuli za kijasiriamali wale waliopo arusha karibuni Victory Collection karibu na Crown hotel mje mpendeze na kupata maushauri ya kutoka kimaisha, kuna post nilipost kuwa sociologist wa arusha mbona sioni kazi? maana nataka kuongeza mtaji au hata kufanyia kazi kile nilichokisoma jamani.

NINI SABABU YAKUANDIKA YOTE HAYA?

Nataka kumtia moyo huyo binti anaesema kazi yeyote halafu anajikanyaga tena kwa kusema za ndani hataki,kumbuka kuwa ukiwa na nia utafanikiwa,kumbuka kuna usemi wanasema, no one can go back and change a bad begining, but everyone can start now and create a successessful ending. it is your time to act now bint, anza na kile unachoona kitakupa manufaa na kwa madhumuni gani, sisi wa vyuo vikuu kazi zinasumbua sembuse wewe wa form four?

Siku hizi huku arusha house girls ni form four sijui sehem zingine, hata huo ubaamed unaoambiwa sijui kama utaqualify coz wapo waliosoma hotel management, house keeping and housing so hata wafagiaji lazima uwe na uzoefu, so tuliza akili yako fikiri kwa makini then ndo uombe unachodhani kitakusaidia, hata tukikupa elfu kumikumi kila mdau wa jf haitakusaidia kama huna lengo hilo.
jamani samahanini sana kwa kuwachosha kwa maneno meengi. napatikana amelinechao@gmail.com
 
sasa we binti unatafuta kazi tunakuambia kazi za ndani unakataa wakati unasema kazi yeyote? Be serious mbona mmi nilivomaliza form four 2002 nilikosa ada ya kuendelea kutokana na hali ya family yangu na nilikua na div 4 point 26 na credit 3 nilifanya kazi za ndani na mshahara ulikua 35,000/ mpaka mwaka 2004 nilikusanya fedha ukitoa matumizi madogomadogo nilikua na laki 480,000/= nikaamua kuacha nikaanza kozi ya full secretarial na nilikua najilipa mwenyewe kwa muda wa mwaka mmoja, ada kwa mwezi ilikua 25,000/= mwaka 2005-2006 kwenye chuo kinachoitwa momesco hapa arusha,.nilimaliza 2006 mwezi wa nane so nikaanza kuapply kazi sehemu mbalimbali hasa viwandani na kupita kuomba kwenye stationaries mwezi wa wa 12, 2006 nikapata kazi katika kampuni inayoitwa darsh ipo themi wanaoishi arusha wanapafahamu mshahara ulikua 90,000/= pamoja na manyanyaso ya wahindi nilivumilia nikafanya nikiwa na lengo la kuendelea kusoma nikawa najiwekea akiba wakati huo naishi kwa yule mama nliekua nafanya kazi kwake kwa muda wote huo alikua kama ndugu yangu, mpaka mwezi wa 12, 2007 nilikua nimeshajikusanyia kama laki 7 nikitoa na matumizi madogomadogo mengi yakiwa ni nauli tu maana msosi ulikuwepo ofisini na kulala ilikua bure nilikua bahili sana kwani nilijua ni nin ninachofanya.

Kuna binamu yangu anaishi dar kipindi cha nyuma nilimwombaga msaada akakaa kimya ila nilivyompa wazo la kusoma form 5 akaahidi kunisaidia akaniita dar, nikaenda nikiwa na lak 7 kwenye account nikijisemea akinizingua nitatafuta shule nipige mwenyewe,. Akanipeleka boko basihaya kulikua na kituo chenye program ya qt na five na six kwa mwaka mmoja , nikapiga pale kuanzia february 2008 nikichukua hkl hadi february 2009 nikafanya mtihani wa form six, na kufaulu kwa div 2.10 nikachaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma october 2009 bachelor of arts in sociology bodi nao hawakunisahau nikapata 90% ya mkopo, kwa raha zangu nikaweka mikono juu nikatupa shida chini nikaanza kuburudika na boom huku baadhi ya ndugu waliokua wananidharau hawakuamini na wengi wao walikua wanaomba tu account namba yangu kiukweli nilitoka kimaisha kwani first year tu account yangu ilikua ina zaidi ya mil 2.5 ondoa boom.

Nikafanikiwa kugraduate nov 2012 nikarud arusha napiga tu shughuli za kijasiriamali wale waliopo arusha karibuni victory collection karibu na crown hotel mje mpendeze na kupata maushauri ya kutoka kimaisha, kuna post nilipost kuwa sociologist wa arusha mbona sioni kazi? Maana nataka kuongeza mtaji au hata kufanyia kazi kile nilichokisoma jamani.

Nini sababu yakuandika yote haya?

Nataka kumtia moyo huyo binti anaesema kazi yeyote halafu anajikanyaga tena kwa kusema za ndani hataki,kumbuka kuwa ukiwa na nia utafanikiwa,kumbuka kuna usemi wanasema, no one can go back and change a bad begining, but everyone can start now and create a successessful ending. It is your time to act now bint, anza na kile unachoona kitakupa manufaa na kwa madhumuni gani, sisi wa vyuo vikuu kazi zinasumbua sembuse wewe wa form four?

Siku hizi huku arusha house girls ni form four sijui sehem zingine, hata huo ubaamed unaoambiwa sijui kama utaqualify coz wapo waliosoma hotel management, house keeping and housing so hata wafagiaji lazima uwe na uzoefu, so tuliza akili yako fikiri kwa makini then ndo uombe unachodhani kitakusaidia, hata tukikupa elfu kumikumi kila mdau wa jf haitakusaidia kama huna lengo hilo.
Jamani samahanini sana kwa kuwachosha kwa maneno meengi. Napatikana amelinechao@gmail.com

i read the whole story and all i can say is wow! God bless you for whatever you plan to achieve in the future. It's a story few can endure but it's real
 
Ukitaka kufanikiwa kiamisha lazima uwe na malengo kubali kuanzia chini kaa na waliofanikiwa na jambo la msingi zaidi MUNGU awe no 1 katika kila jambo hapo ndugu mafanikio yanakuja bila shaka
 
Hongera sana kwa mapito uliyopitia hadi hapo ulipofika, Hili ni fundisho kubwa sana
Keep it Up
 
Hongera,
Lakini kumbuka maisha lazima uwe na malengo.
Huyo binti ana malengo yake ambayo ni mazuri tu na atafanikiwa !
 
sasa we binti unatafuta kazi tunakuambia kazi za ndani unakataa wakati unasema kazi yeyote? be serious mbona mmi nilivomaliza form four 2002 nilikosa ada ya kuendelea kutokana na hali ya family yangu na nilikua na div 4 point 26 na credit 3 nilifanya kazi za ndani na mshahara ulikua 35,000/ mpaka mwaka 2004 nilikusanya fedha ukitoa matumizi madogomadogo nilikua na laki 480,000/= nikaamua kuacha nikaanza kozi ya full secretarial na nilikua najilipa mwenyewe kwa muda wa mwaka mmoja, ada kwa mwezi ilikua 25,000/= mwaka 2005-2006 kwenye chuo kinachoitwa MOMESCO hapa Arusha,.nilimaliza 2006 mwezi wa nane so nikaanza kuapply kazi sehemu mbalimbali hasa viwandani na kupita kuomba kwenye stationaries mwezi wa wa 12, 2006 nikapata kazi katika kampuni inayoitwa darsh ipo themi wanaoishi arusha wanapafahamu mshahara ulikua 90,000/= pamoja na manyanyaso ya wahindi nilivumilia nikafanya nikiwa na lengo la kuendelea kusoma nikawa najiwekea akiba wakati huo naishi kwa yule mama nliekua nafanya kazi kwake kwa muda wote huo alikua kama ndugu yangu, mpaka mwezi wa 12, 2007 nilikua nimeshajikusanyia kama laki 7 nikitoa na matumizi madogomadogo mengi yakiwa ni nauli tu maana msosi ulikuwepo ofisini na kulala ilikua bure nilikua bahili sana kwani nilijua ni nin ninachofanya.

Kuna binamu yangu anaishi dar kipindi cha nyuma nilimwombaga msaada akakaa kimya ila nilivyompa wazo la kusoma form 5 akaahidi kunisaidia akaniita dar, nikaenda nikiwa na lak 7 kwenye account nikijisemea akinizingua nitatafuta shule nipige mwenyewe,. akanipeleka boko basihaya kulikua na kituo chenye program ya QT na five na six kwa mwaka mmoja , nikapiga pale kuanzia february 2008 nikichukua HKL hadi february 2009 nikafanya mtihani wa form six, na kufaulu kwa div 2.10 nikachaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma october 2009 bachelor of arts in Sociology bodi nao hawakunisahau nikapata 90% ya mkopo, kwa raha zangu nikaweka mikono juu nikatupa shida chini nikaanza kuburudika na boom huku baadhi ya ndugu waliokua wananidharau hawakuamini na wengi wao walikua wanaomba tu account namba yangu kiukweli nilitoka kimaisha kwani first year tu account yangu ilikua ina zaidi ya mil 2.5 ondoa boom.

Nikafanikiwa kugraduate nov 2012 nikarud arusha napiga tu shughuli za kijasiriamali wale waliopo arusha karibuni Victory Collection karibu na Crown hotel mje mpendeze na kupata maushauri ya kutoka kimaisha, kuna post nilipost kuwa sociologist wa arusha mbona sioni kazi? maana nataka kuongeza mtaji au hata kufanyia kazi kile nilichokisoma jamani.

NINI SABABU YAKUANDIKA YOTE HAYA?

Nataka kumtia moyo huyo binti anaesema kazi yeyote halafu anajikanyaga tena kwa kusema za ndani hataki,kumbuka kuwa ukiwa na nia utafanikiwa,kumbuka kuna usemi wanasema, no one can go back and change a bad begining, but everyone can start now and create a successessful ending. it is your time to act now bint, anza na kile unachoona kitakupa manufaa na kwa madhumuni gani, sisi wa vyuo vikuu kazi zinasumbua sembuse wewe wa form four?

Siku hizi huku arusha house girls ni form four sijui sehem zingine, hata huo ubaamed unaoambiwa sijui kama utaqualify coz wapo waliosoma hotel management, house keeping and housing so hata wafagiaji lazima uwe na uzoefu, so tuliza akili yako fikiri kwa makini then ndo uombe unachodhani kitakusaidia, hata tukikupa elfu kumikumi kila mdau wa jf haitakusaidia kama huna lengo hilo.
jamani samahanini sana kwa kuwachosha kwa maneno meengi. napatikana amelinechao@gmail.com

Dada umeolewa? ....mumeo atapata raha sn...u're such an ambitious woman
 
Mkuu mabinti wengi wa dar ni masister du wanataka kazi zenye AC .kama kuna nafasi kwnye ofic yako hata ya kufagia me ntakuPM au kukuemail.
:smile: ujumbe tusichague kazi umri unakwenda hata godoro kununua itakuwa mbinde
 
nawashukuru wote kwa kuwa pamoja na mimi Mungu awabariki
 
Malengo hata yawe mazuri vipi hauwezi kuanzia juu aisee. Unaanzia chini, kwenye msingi. Anataka kuweka umeme kwenye kiwanja? Unasasambua msingi kwanza, upandishe tofali, uezeke!
Hongera,
Lakini kumbuka maisha lazima uwe na malengo.
Huyo binti ana malengo yake ambayo ni mazuri tu na atafanikiwa !
 
Nakupa hongera kwa kuifuatilia ndoto yako. Tafuta kazi na ufanye ujiendeleze ukafanye masters. Kuna mahausigelo wawili walionilea mimi, mmoja alisomeshwa nursing alipoleta mchumba kwetu. Wanae wana digrii na watu wote wanajua ni ndugu zetu wa damu. Na tunashirikiana na wakija kwa wazazi wangu ni kwa bibi na babu. Huyo mwingine alisomeshwa ualimu (ulee wa std 7, sijui grade C?). Anaendesha prado now na kadigirii kake.
lazma uanzie mwanzo. Mambo ya kutaka kazi za UN na ki-gpa chako mbona utadoda? Na hamuwezi mkaanzia kazi dsm wote jamani, tandahimba nao.wanataka services!
 
Kila kitu ni Uvumilivu, na mara Nyingi matunda huja kuonekana mwishoni kabisa, Ukisoma Stor za wavumbuzi wengi walisota sana na mpaka wengine walikufa wakiwa bado hawatumia matunda ya kazi zao, Tatizo dunia ya sasa vishawishi ni vingi sana na mtu anataka atimize vyote hivyo kwa wakati mmoja, kitu ambacho hakiwezekani,

Kuna mkenya Mmoja ambaye sasa ni Marehemu, anaitwa Muguku, ukigoogle utapata stor yake alivyo acha ualimu na kuanza kufufa kuku wasio zidi Kumi lakini kutokana na Uvumilivu na kuto kata tamaa alikuja kuibuka kuwa katika list ya matajiri watano wakubwa nchini kenya na Mkenya pekee aliye kuwa na share ningi kwenye benki ya Equity,

So kila kitu ni kuvumilia na kuachana na watu waote wanao katisha tamaa hata kama ni Ndugu zako, make wako ndugu ambao nao huwa ni mabingwa wa kukatisha tamaa
 
Nakupa hongera kwa kuifuatilia ndoto yako. Tafuta kazi na ufanye ujiendeleze ukafanye masters. Kuna mahausigelo wawili walionilea mimi, mmoja alisomeshwa nursing alipoleta mchumba kwetu. Wanae wana digrii na watu wote wanajua ni ndugu zetu wa damu. Na tunashirikiana na wakija kwa wazazi wangu ni kwa bibi na babu. Huyo mwingine alisomeshwa ualimu (ulee wa std 7, sijui grade C?). Anaendesha prado now na kadigirii kake.
lazma uanzie mwanzo. Mambo ya kutaka kazi za UN na ki-gpa chako mbona utadoda? Na hamuwezi mkaanzia kazi dsm wote jamani, tandahimba nao.wanataka services!

ni kweli brother, mabinti wengi huwa sijui ni aibu au vipi mtu una malengo yako mazuri, unatamani kuwa kama mtu fulani, lakini kuyafikia ndo issue, sasa unapomwambia mtu fanya kile kinachowezekana kwako, anaona unamdhalilisha kumbe wapo wengine kama sisi tulianzia hukohuko. hujakosea, kwa sasa nina fanya biashara ila mpango wa kuendelea kusoma mpaka phd ila november this year nina mpango wa kwenda sweden kusoma masters Mungu akijaalia nitaendelea zaidi ya hapo, Tuendelee kuombeana
 
Nimekutamanijeeeee!
Mpaka nakuonea wivu yaani . . lol

Hongera nyingi nakupa . . .wewe ni mfano mzuri wa kuigwa!
 
Nikupongeze tu dada...
Maisha yako ni nuru kwa wengine..

ni kweli brother, mabinti wengi huwa sijui ni aibu au vipi mtu una malengo yako mazuri, unatamani kuwa kama mtu fulani, lakini kuyafikia ndo issue, sasa unapomwambia mtu fanya kile kinachowezekana kwako, anaona unamdhalilisha kumbe wapo wengine kama sisi tulianzia hukohuko. hujakosea, kwa sasa nina fanya biashara ila mpango wa kuendelea kusoma mpaka phd ila november this year nina mpango wa kwenda sweden kusoma masters Mungu akijaalia nitaendelea zaidi ya hapo, Tuendelee kuombeana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom