Ushauri kwa wapinzani kuelekea mwaka 2020

Ushauri kwa wapinzani kuelekea mwaka 2020

Ha ha ha! Magwanda nilishayavua zamani baada ya kuona kuna ubabaishaji mwingi!! Kuna wapiga madili tu huko!!

alafu hupendezei kbs huko! we hya tu!kwahyo anavyotufanya huyu chakaramu LE POROFESERI we unaona sawaaaaaaa!anatugeuza kama chapat dadek zke nausongo naeeeeee
 
Kwa kauli hizi, je, mtu huyu akipita katika uchaguzi huu itakuwaje?"
sasa itakuaje kivipi wakati kauli kashazitoa na wameona kilichotokea baada ya hizo kauli? Hivi mnakumbuka kauli kama ile ya kigamboni pigeni mbizi mliitumia 2015 na bado akapita???hiyo sio hoja maana watu wameziishi kauli zake tata na hakuna lolote lililowadhuru watz sasa labda uelezee hizo kauli tata zimeleta athari gani kitaani huku??
 
Nashauri mteua watu au muunde kitengo kidogo maalumu cha kufuatilia kauli za Mkulu na kuzi-document kwa lengo la kuja kuzitumia mwaka wa 2020 wakati wa kampeni.

Ikifika 2020,yaandaliwe mabango maalumu yenye kauli tata za mkulu na yawe yanapamba mikutano yote ya wapinzani(UKAWA).

Kila bango liwe na maneno:

"Kwa kauli hizi, je, mtu huyu akipita katika uchaguzi huu itakuwaje?"

"Kwa usalama wetu tumkatae yeye na
wabunge wake pamoja na madiwani wake."

Mwacheni aendelee kujisahau 2020 inaanza kupiga jaramba.
Wasisahau kuandaa na yale ya;
1. Nina ushahidi wa ufisadi wa richmond dhidi monduli,
2. Nashangaa vibaka wanachomwa na fisadi papa likiachwa linapeta,
3. Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi;
4. Anayemsapoti fisadi naniliuu akapimwe akili;
5. Sisiemu wamempa fisadi form ya kugombea urais, ni hatari.
6. Etc
 
Nashauri mteua watu au muunde kitengo kidogo maalumu cha kufuatilia kauli za Mkulu na kuzi-document kwa lengo la kuja kuzitumia mwaka wa 2020 wakati wa kampeni.

Ikifika 2020,yaandaliwe mabango maalumu yenye kauli tata za mkulu na yawe yanapamba mikutano yote ya wapinzani(UKAWA).

Kila bango liwe na maneno:

"Kwa kauli hizi, je, mtu huyu akipita katika uchaguzi huu itakuwaje?"

"Kwa usalama wetu tumkatae yeye na
wabunge wake pamoja na madiwani wake."

Mwacheni aendelee kujisahau 2020 inaanza kupiga jaramba.
Alafu umeumiza kweli kichwa kuja na wazo hili mfu;
Mbona kauli hizi mlizotumia 2015 kwa kusema kuwa ni fisadi kauza nyumba za serikali, kanunua kivuko kibovu, piga mbizi kama hauna mia mbili; ila bado alipeta!
Kuweni wabunifu, mnataka kutumia strategy zilizowafelisha 2015 ziwe strategy za 2020??? Huu ni ufupi wa kuwaza!
 
Hivi mnatumia kipimo gani?

Kwakuwa kila siku anaongea peke yake basi ndii mnaona anakubalika?

Jiulizeni kwanini hataki EL nae asimamame majukwaani.

Huu ni ujinga wa hali ya juu sana!!
Lowasa atumie hata majukwaa ya huko kenya, ujumbe utafika ila tatizo hana jipya!
 
Boss Salary Slip Sio kwa baadhi ya WaTanzania, CCM inajua mtaji wao. Sasa tunabana, ikifika 2020 tunaachia pesa, tukigawa Tshirt na Kanga, tukitoa na Pilau. Uchaguzi tunapeta kiulaini. Safari hii sio Goli la mkono. Litakuwa Goli la Offside.

Nashauri mteua watu au muunde kitengo kidogo maalumu cha kufuatilia kauli za Mkulu na kuzi-document kwa lengo la kuja kuzitumia mwaka wa 2020 wakati wa kampeni.

Ikifika 2020,yaandaliwe mabango maalumu yenye kauli tata za mkulu na yawe yanapamba mikutano yote ya wapinzani(UKAWA).

Kila bango liwe na maneno:

"Kwa kauli hizi, je, mtu huyu akipita katika uchaguzi huu itakuwaje?"

"Kwa usalama wetu tumkatae yeye na
wabunge wake pamoja na madiwani wake."

Mwacheni aendelee kujisahau 2020 inaanza kupiga jaramba.
 
Hivi mnatumia kipimo gani?

Kwakuwa kila siku anaongea peke yake basi ndii mnaona anakubalika?

Jiulizeni kwanini hataki EL nae asimamame majukwaani.

Huu ni ujinga wa hali ya juu sana!!
Mkuu una ndoto za ajabu, yaani kabisa unaamini EL akipewa jukwaa atajinadi.....kwa nn hujiulizi kipi kilimshinda hukohuko majukwaani uchaguzi mkuu uliopita wakati fursa tele alikuwa nayo?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..inatakiwa kila yanapochanwa yatengenezwe mapya.

..na hiyo iendelee mpaka pale hao wanaochana mabango watakapochoka.
Ushauri mzuri wakiutekeleza,ila swali ni je kama UKUTA walishindwa kuusimamisha hilo wataliweza?
 
Back
Top Bottom