Ushauri mzuri wakiutekeleza,ila swali ni je kama UKUTA walishindwa kuusimamisha hilo wataliweza?
..ni kweli unachosema.
..Mbowe Mashinji na Lowassa ni waoga.
..Upinzani unahitaji watu majasiri kama Tundu Lissu, Lijualikali, Mdee, kushika hatamu za uongozi.