Ushauri kwa wapinzani kuelekea mwaka 2020

Ushauri kwa wapinzani kuelekea mwaka 2020

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,692
Reaction score
164,963
Nashauri mteua watu au muunde kitengo kidogo maalumu cha kufuatilia kauli za Mkulu na kuzi-document kwa lengo la kuja kuzitumia mwaka wa 2020 wakati wa kampeni.

Ikifika 2020,yaandaliwe mabango maalumu yenye kauli tata za mkulu na yawe yanapamba mikutano yote ya wapinzani(UKAWA).

Kila bango liwe na maneno:

"Kwa kauli hizi, je, mtu huyu akipita katika uchaguzi huu itakuwaje?"

"Kwa usalama wetu tumkatae yeye na
wabunge wake pamoja na madiwani wake."

Mwacheni aendelee kujisahau 2020 inaanza kupiga jaramba.
 
Watanzania wanataka kazi na si kauli, mlivyovalia fulana za "malofa na wapumbavu katika ubora wenu " ziliwasaidia?
 
Nashauri mteua watu au muunde kitengo kidogo maalumu cha kufuatilia kauli za Mkulu na kuzi-document kwa lengo la kuja kuzitumia mwaka wa 2020 wakati wa kampeni.

Ikifika 2020,yaandaliwe mabango maalumu yenye kauli tata za mkulu na yawe yanapamba mikutano yote ya wapinzani(UKAWA).

Kila bango liwe na maneno:

"Kwa kauli hizi, je, mtu huyu akipita katika uchaguzi huu itakuwaje?"

"Kwa usalama wetu tumkatae yeye na
wabunge wake pamoja na madiwani wake."

Mwacheni aendelee kujisahau 2020 inaanza kupiga jaramba.
Dogo nenda tu ukalale maana Leo Ruge Na Makonda wamepatana wakati Nape mliyemvimbisha bichwa anaugulia
 
Ah ili iweje maana wengine tumeshajifunza kwa tukio la Lowassa,pamoja na kuchafuliwa kote kule ila bado alipata kula nyingi tu kwa watanzania hao hao.

Kila mtu akomae na hali yake tu.
 
acha bangi MKUU NA SISI TUNATENGENEZA MABANGO ya UROPOKAKJI WA VIONGOZI WENU.....hivi bado mnaamini kukisinda CCM 2020???.....angalia mtakosa mpaka wa bunge 2020 NA MTAPATA ANGUKO KUBWA MNO....WATAKAORUDI ni wale wanaojitambua....na subirini aibu ya kuropoka kwenye makinikia itakavyowaumbua....
 
Tatizo la upinzani ni kutoelewa watanzania tulikuwa tunataka nini. Sasa kaingia mjamaa anayejua kucheza na akili zetu (hayupo perfect) sasa hii ngoma inawapeleka kweli hadi hawajui wafanye nini. Next time bakini kwenye misingi iliyowapa umaarufu.
 
Hakuna atakachosema mpinzani 2020 kama kumponda Rais wananchi wakakielewa.wananchi wana akili nyingi sana tofauti na wachache wanasiasa wadhaniavyo.namchukulia mwanasiasa yupo kazini tu kutetea tumbo na uhalisia anaujua vyema kua MAGUFULI anatenda na wananchi tunaona,wakisemacho wapinzani bungeni na kwenye vyombo vya habari ni tofauti na mtazamo wa wapiga kura wao,watu gani walichokishauli awali kinafanyika leo wanageuka tena kukiponda wakidhani wananchi ni wendawazimu?watu gani walimtukana LOWASA kua ni fisadi hafai na ghafla akakimbilia kwao na kupewa mamlaka na wakaanza kumsafisha kwa upya bila hoja inayoeleweka ya kwa nini kawa msafi,wanadhani wananchi ni wendawazimu?2020 ushindi wa CCM ni mkubwa kuliko mnavyofikili,kuna wapiga kura waelewa wasiojua hata Jamii forum ni kitu gani ila wanaujua uhalisia

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Nashauri mteua watu au muunde kitengo kidogo maalumu cha kufuatilia kauli za Mkulu na kuzi-document kwa lengo la kuja kuzitumia mwaka wa 2020 wakati wa kampeni.

Ikifika 2020,yaandaliwe mabango maalumu yenye kauli tata za mkulu na yawe yanapamba mikutano yote ya wapinzani(UKAWA).

Kila bango liwe na maneno:

"Kwa kauli hizi, je, mtu huyu akipita katika uchaguzi huu itakuwaje?"

"Kwa usalama wetu tumkatae yeye na
wabunge wake pamoja na madiwani wake."

Mwacheni aendelee kujisahau 2020 inaanza kupiga jaramba.
Upinzani upo kila mahali na huwezi amini kuwa kuna watu wana mambo mengi ambayo yanaweza kutumika kwenye kampeni lakini kwa demokrasia ya Africa ni jambo ambalo haliwezekani.Ukishindana na kiongozi ambaye bado yupo madarakani kuna mahali inabidi utulie kwani katika Africa mtu akifikia nafasi kama ya U raisi ni sehemu chache ambazo unaweza kuibua mapungufu yake na ukabaki salama.
Magufuli alijipambanua kuwa ni mtu wa amri kwa miaka mingi lakini haina maana kuwa hana mapungufu ya kikazi na kibinafsi lakini madamu kaingia ofisi kuu he is a clean person!!
Kwetu tuangalie tu huyu na yule nani bora zaidi,inatosha.
 
Tatizo la upinzani ni kutoelewa watanzania tulikuwa tunataka nini. Sasa kaingia mjamaa anayejua kucheza na akili zetu (hayupo perfect) sasa hii ngoma inawapeleka kweli hadi hawajui wafanye nini. Next time bakini kwenye misingi iliyowapa umaarufu.
Hivi mnatumia kipimo gani?

Kwakuwa kila siku anaongea peke yake basi ndii mnaona anakubalika?

Jiulizeni kwanini hataki EL nae asimamame majukwaani.

Huu ni ujinga wa hali ya juu sana!!
 
Back
Top Bottom