Ushauri kwa wapinzani kuelekea mwaka 2020

Ushauri kwa wapinzani kuelekea mwaka 2020

2020 ni vita kati ya Hoja na Majigambo..
magufuli ataingia uwanjani kwa majigambo nimefanya hiki nimefanya kile nitamalizia hiki mkinipa tena
wakati upinzani mnamtihani na mlima mkubwa sana wakupanda kwa Hoja zilizoshiba watz tukawaelewa na ukizingazitia hoja kuu ya ufisadi kwa kiasi kikubwa Magufuli kaifunika...jipangeni kwa Hoja sio eti kauli tata maana hata nyie mnazo kauli tata mia kidogo
 
2020 ni vita kati ya Hoja na Majigambo..
magufuli ataingia uwanjani kwa majigambo nimefanya hiki nimefanya kile nitamalizia hiki mkinipa tena
wakati upinzani mnamtihani na mlima mkubwa sana wakupanda kwa Hoja zilizoshiba watz tukawaelewa na ukizingazitia hoja kuu ya ufisadi kwa kiasi kikubwa Magufuli kaifunika...jipangeni kwa Hoja sio eti kauli tata maana hata nyie mnazo kauli tata mia kidogo
Salary Slip ujumbe wa hapo juu ndo ukweli wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: nao
..Chadema watasema nini?

..waliomnyooshea bastola Nape na waliowatuma watasema nini?

..CCM watasema nini?

..Nape naye atasema nini?
Hiyo ndiyo siasa babu. Humu mlijaa upepo bure
 
Nashauri mteua watu au muunde kitengo kidogo maalumu cha kufuatilia kauli za Mkulu na kuzi-document kwa lengo la kuja kuzitumia mwaka wa 2020 wakati wa kampeni.

Ikifika 2020,yaandaliwe mabango maalumu yenye kauli tata za mkulu na yawe yanapamba mikutano yote ya wapinzani(UKAWA).

Kila bango liwe na maneno:

"Kwa kauli hizi, je, mtu huyu akipita katika uchaguzi huu itakuwaje?"

"Kwa usalama wetu tumkatae yeye na
wabunge wake pamoja na madiwani wake."

Mwacheni aendelee kujisahau 2020 inaanza kupiga jaramba.
Kwa kifupi Tanzania Mpya inakuja. Yenye utendaji was kiadilifu, uwajibikaji, uaminifu Na vingine vinavyofanana Na hizo tunu za taifa.
Wananchi walio wengi wameshakubali kuwa Tz Mpya inawezekana.
Hivyo pia zinahitajika Siasa Mpya ktk Tz Mpya. Siasa zinazofanywa Na watu waadilifu, waaminifu, wenye nidhamu, weledi na vingine vinvyofanana Na hivyo
Kwa kutambua hilo Chama Tawala wameshaanza kukubali muasisi wa Tz Mpya awatakase pia ili waweze kuperform Siasa Mpya ndani ya Tz Mpya.
Sasa tujiulize wapinzani wanatambua kuwa IPO Tz Mpya? Yenye kuhitaji Siasa Mpya? Siasa zenye kufanywa Na aina ya watu niliowataja hapo juu?
Kama wapinzani wanalitambua hilo, sina tatizo. Kwa maoni yangu nafikiri bado wapo ktk usingizi mzito (Hangover) ya Siasa Chafu zilizopita zilizokuwa zikiendeshwa Na wenye mikono michafu. Ndio hivi sasa kila mchafu aliyekuwa CCM anakimbilia CHADEMA.
Ni vyema watu wakajifunza kuread between the lines. Kinana kasema ruksa JPM kuwakosoa viongozi waliopita. Hii maana yake?
Ni kuwa wakati viongozi hao wanatoa raslimali za nchi hii kwa mikataba mibovu n.k walikuwa Na wasaidizi wao wakuu. Leo hao wasaidizi wakuu wako wapi? Jibu ni CDM.
Sasa kwa kuwa Na watu kama hawa tens wakiwa vinara (wenye nafasi za juu and Proactive) kwenye CDM. Chama hiki kitaweza kuingia ktk Siasa za Tz Mpya?
Mathalani kitendo cha Waziri Mkuu mstaafu kumkaribisha Na kisha kujitokeza hadharani kumsemea mtuhumiwa wa madawa ya kulevya kinawezaje kukubalika ktk Siasa Mpya ndani ya Tz Mpya kwa mujibu wa vigezo nilivyovitaja hapo juu?
Nimeamua kuwapa somo ili kunusuru mamilioni ya waTz yanayotumika kama ruzuku ktk vyama vya upinzani ili angalau yatupatie siasa mbadala ktk Tz Mpya
 
This is what I always insist by saying, in this country ,we lack a strong opposition part with a well synthesized agenda, strategically implemented, and a strong clear focus, but instead, we have an illusion-oriented politics, poorly strategized, and with no clear focus. Nevertheless, an epicenter of all these problems is a leadership vacuum, with no clear vision. Additionally, being financially stable among the team members, does not guarantee that you could be a very skillful leader, and this is what is happening in our other side of a coin. Finally, lack of a clear focus, could lead to the political gambling strategies, and consequently you end up in a political trap, which jeopardize any political party identity, legitimacy and credibility. Salary slip, what is your agenda at the moment?
Una uhakika wamekuelewa ulo wakusudia huu ujumbe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom