Ushauri kwa wanaume

Anaweza kuongelea masuala ya kiuchumi pamoja na ahadi kemkem, kwa mfano kukununuli gari...japo ka-kakirikuu, lakini only to find out kwamba anakudanganya ili akupate. hiyo itasaidia nini@miss chagga.
 
Anaweza kuongelea masuala ya kiuchumi pamoja na ahadi kemkem, kwa mfano kukununuli gari...japo ka-kakirikuu, lakini only to find out kwamba anakudanganya ili akupate. hiyo itasaidia nini@miss chagga.

sitaki aniongelee mimi aongelee future yake siyo jitu kunilamba mikono mda wote na i love u.... na nimazungumzo tu kushauriana unaweza anzisha mada ukaona anashauri nini si kukaa kama zoba
 
Bahati yako nina wake wawili,ningekuonesha how matured we are!!! Huyo anayeshindwa kuongelea mambo mbalimbali ana uwezo mdogo au exposure kdg,,,,,,,
 
Mambo yamebadilika siku hizi;

Mashuleni kila somo lina Q & A, mtoto anasoma Q & A halafu anaenda kujibu mtihani, akipata 40 inaitwa Div 4 na amefaulu. Muda wa kusoma vitabu hakuna kabisa, na hii ni kwa sababu muda mwingi tunautumia kwenye mitandao!

Enzi za nyuma kabla ya huu utandawazi na kina Nyangwine, Msabila et al hawajarahisisha elimu watu tulikuwa tunahangaika na mavitabu kama Abbott, Nelkon, Biological Science, Monkhouse, Elementary Biology, UP, Backhouse (Pure 1 na 2), Lambert, Organic Chemistry Book, etc.

Kwa huo utaratibu wa kusoma vitabu lazima uwe nondo, uwe na point za kutosha hata huku kwenye maisha ya kawaida.

Bongo fleva nyimbo yote ni LoveDavi so kama ndio wanaokutongoza lazima ukubali kusikia hizo Love love.
 
Haaa sijawahi chat na wewe nikiamini hauko interesting..now najiuliza if I was wrong.....Nakuja jiandae na habari za gdp na uchumi wa dunia..ole wako ulete story za wema na kajala

Uchumi wa dunia ? Utauwa mkuu
 
umenena vyema Kanigini hongera
 
sidhani kama si wafatiliaji wa mambo muhimu ila nahisi hao wa hivyo huwa wanachowaza ni kugegeda tu sasa hizo habari zingine wanaona kama zinawachelewesha ndo mana unakuta wanang'ang'ania pale pale wanapoona watapa wakitacho upesi
 
shosti hao huwa wanawaza mgegedo tu sasa stori zingine wanaona wanachelewa
 
Asilimia tisini ya ubongo wa mwanaume unawaza sex.kwahyo hizo kumi ameshazitumia kazin akija kwako anautilize zile tisin
 
Haaa sijawahi chat na wewe nikiamini hauko interesting..now najiuliza if I was wrong.....Nakuja jiandae na habari za gdp na uchumi wa dunia..ole wako ulete story za wema na kajala

Hahaaaa nominal per capita GDP ya Marekani na China.....ndo ukakimbia kabisa ule mjadala.

Bado :usa2: iko juu samna.
 
sidhani kama si wafatiliaji wa mambo muhimu ila nahisi hao wa hivyo huwa wanachowaza ni kugegeda tu sasa hizo habari zingine wanaona kama zinawachelewesha ndo mana unakuta wanang'ang'ania pale pale wanapoona watapa wakitacho upesi

kwa kweli si sawa kabisa mwanume uwe na upeo w mbali na si kuwa na upeo wa kwenye pichu tu
 
Asilimia tisini ya ubongo wa mwanaume unawaza sex.kwahyo hizo kumi ameshazitumia kazin akija kwako anautilize zile tisin

yesu na maria sasa hapo maendeleo yapo kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…