Ushauri kwa wanaume

Ushauri kwa wanaume

hahahaha we bibie unafurahisha. Hivi makadirio ya uchumi wa Tanzania kwa mwaka 2030 yako vipi vile?
 
Aiseeeeee
Mbona kama huu ujumbe una mtumia asiye weza kuona wala kuusoma?
 
we dont mind bt they must knw wat she needs to hear from them....

mzima wewe...
lazy ass dude hawawezi kujua what girls want atleast a player kidogo anaweza kujua
mi mzima hofu juu yako hivi unajua kama nakutamani sana ww!!!
 
Kuna mijanaume bwana ni janga la kitaifa.

They look so smart but their minds are so empty.

Hawanaga cha kuongelea.

Akishika topic ni hiyo hiyo.

Janga la kitaifa mpaka nimeshindwa janga la kitaifa linaitwaje in English.

Nisije sema wonder of the nation. lols. hahaaaa
 
Back
Top Bottom