Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,820
- Thread starter
- #61
AISEEUlitaka awe mmoja
AISEEUlitaka awe mmoja
HEHEHEKama Nyani Ngabu ana mandevu machafu kama fagio la mashineni
kafuata DINERO - HELALakini kiukweli sijasikia demu wa Rick Ross akilalamika kuhusu ndevu za jamaa.
KHAAA!Hahahaaa Peni ya hela aka Money Penny Midevu Suna kwetu Sisi waislamu,ukitaka kuprove zina Mzuka NiPM Tuyajenge,UBECHE wangu kama wa Rick Ross achana na wa MaybachMusic(MMG), The Real Rick Ross.
View attachment 785523
HAHAHAHAntalishughulikia na hilo
Kumbe shida ni hela na sio ndevu!!kafuata DINERO - HELA
KWA WANAWAKE WA RICK ROSS LKN SIO WOTEKumbe shida ni hela na sio ndevu!!
Hahahaha WELCOME BACK,YOU GOOD? I know you like that.KHAAA!
AMEKAA KAMA GAY MAN
kwani ndevu ndo zinatikisa umo ndaniNIKIONA TU NDEVU NAKUWA TURNED OFF
Wasukuma ndo wananyoa hivi?Kumbe na wewe msukuma....
View attachment 784901 View attachment 784903 View attachment 784904 View attachment 784905
Mnakoelekea ninyi sasa...mtatuambia tuanze kuweka na masponji kwenye boxer...
Hahahaha WELCOME BACK,YOU GOOD? I know you like that.
hehehekwani ndevu ndo zinatikisa umo ndani
Habari ya Siku nyingi. Familia mzima!?
Kusema kweli niwe tu mkweli mimi mwanaume anaefuga midevu kama Rick Ross wala simpendi, hanipi hata mzuka
Kwanini usikate Madevu yako jamaa
Naelewa Naelewa sijazaliwa jana ujue, Naelewa kazi ya Madevu kit and ani, yanatoa raha na kutekenya lkn doh!
Ila Wanaume went Madevu ni wachaaafuu, mana kama juu ( kaskazini) ana midevu kusini je?!
Naombeni Wanaume wenye Madevu mkate Madevu yenu, kuna style nzuri tu za kukata madevu yanayosaidia kwenye gemu kama style ya Beberu hehehe
Ni hayo tu kwa sasa. ..
I stand to be corrected!
Like I said ni ushauri tu hatugombani
Akina Osama na Rick Ross Mupooo?!
Uuuwi
Woyoooo
Kwanini huwaambii wanaonuka wigiWanawake acheni kutusema. Mbona nyinyi mnaweka mawigi mengine yananuka balaa. Tuvumiliane tu jamaa