Ushauri kwa wanaume mnaofuga madevu!


Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
8,104
Likes
6,610
Points
280
Money Penny

Money Penny

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2016
8,104 6,610 280
Kusema kweli niwe tu mkweli mimi mwanaume anaefuga midevu kama Rick Ross wala simpendi, hanipi hata mzuka

Kwanini usikate Madevu yako jamaa

Naelewa Naelewa sijazaliwa jana ujue, Naelewa kazi ya Madevu kit and ani, yanatoa raha na kutekenya lkn doh!

Ila Wanaume went Madevu ni wachaaafuu, mana kama juu ( kaskazini) ana midevu kusini je?!

Naombeni Wanaume wenye Madevu mkate Madevu yenu, kuna style nzuri tu za kukata madevu yanayosaidia kwenye gemu kama style ya Beberu hehehe

Ni hayo tu kwa sasa. ..

I stand to be corrected!

Like I said ni ushauri tu hatugombani

Akina Osama na Rick Ross Mupooo?!

 
C

Cherenganya

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Messages
421
Likes
282
Points
80
C

Cherenganya

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2018
421 282 80
Ahsante sana kwa kunialika kwenye uzi MY SOUL SURGEON, tatizo la uzi huu kina dada wanayo nafasi ya kuchangia zaizi kuliko sisi, ila sitokua mnyimi, nami nitatupiamo machache...

1. 6*6 haina sheria milikishi, wanao tunga sheria ni wachezaji wa uwanja huo.
2. 6*6 sheria zake zinabadilika mf. leo tunazima taa, kesho tunawasha mshumaa, kesho kutwa tunafanya mchana
3. 6*6 ni sehemu ambayo mapendekezo huwa yanaruhusiwa ila namna tu ya kupendekeza ndio inatakiwa iwe sahihi...

Wajuvi wengi humu wataongeza nyama
 
Gentleman P

Gentleman P

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2018
Messages
375
Likes
439
Points
80
Gentleman P

Gentleman P

JF-Expert Member
Joined May 23, 2018
375 439 80
Ndevu ni urembo kama vile miguu yako minene au hips zako ulivyo urembo kwa wanaume. Heshimu watu. Kama ni swala la usafi hio ni changamoto ya mtu binafsi.
 
Temanyika wa Nyika

Temanyika wa Nyika

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
196
Likes
292
Points
80
Age
49
Temanyika wa Nyika

Temanyika wa Nyika

Senior Member
Joined Dec 21, 2016
196 292 80
Daaaa,mimi sifugi ndevu ila kusini mwa mwili aliko abdala kichwa wazi huwa nanyoa zote,ila kasikazi anapoanzia shina kuja tumboni nakata pank kati kati, ukipata anaejua kuzisuka halafu ndio mpige gemu hataacha kukupenda maana msuko uikigusa G-sport utasikia miguno na ukelele huo.Mi simo
 
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
4,899
Likes
3,030
Points
280
Chillah

Chillah

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
4,899 3,030 280
Kazi nisiyo ipenda ni ya upolisi kwa kuwa ina lazimisha kukata ndevu... una angaika na viwembe... hasa sisi wenye hati miliki tuna tabu hasa...
 
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
768
Likes
727
Points
180
KijanaHuru

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
768 727 180
Sema midevu ya bwana ako michafu wala haikupi mzuka usilazimishe interest zako ziwe za wote
haya nenda kamnyoe midevu yake bwana ako
 

Forum statistics

Threads 1,262,527
Members 485,585
Posts 30,124,904