Ushauri kwa wanaume mnaofuga madevu!

Any way kwa sababu umesema unataka wenye ndevu staili ya beberu mimi nikushauri utafute beberu uendelee nalo na naamini huyu hapa atakufaa
 

Attachments

  • Beberu.png
    55.1 KB · Views: 85
Sizani kama hii inapaswa kuwa thread ,maana mfano mimi sipendi wanawake wanaovaa mawigi ,lakini narafiki zangu wanawapenda kwa kuwa sio uhalifu kuvaa wigi na waendelee ni raha ya rafiki zangu,ila mimi hata nikitokea kukupenda na imefikia tuwe wapenzi NO TO WIGS ,Na ww pambana na hao wasio na ndevu sisi kina rick ross tuache kuna wanaotupenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…